Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Katika nchi zilizokuwa na makoloni Afrika Ureno ndio maskini kuliko wote.Msumbiji hakuondoka kwa wema bali baada kufanya ukatili mkubwa aking'ang'ania kubaki mpaka hali ilipokuwa hairuhusu.Ilipoondoka ilifanya uchochezi na wanamsumbiji wakaendelea kupigana kwa miaka mingi kati ya Renamo na Frelimo.Portugal Ni maskini kuliko huko kwenu Kilwa. Hamna kitu hapo zaid ya porojo
Sasa nchi hiyo ikiwa na utajiri ni fursa yao na wao kuvuna na kuwa kama wenzao.Si rahisi kumwachia jirani yake Ufaransa kupitia kampuni ya Total kuvuna utajiri huo.Kikosi kilichopelekwa huko kikirudi kitapambana kwa mbinu nyingi dhidi ya wachina na wafaransa ambao wameanza kujimilikisha nchi hiyo kwa kisingizio cha magaidi hewa.
Wareno nao hawatoacha kutumia kisingizio hicho hicho ili mapambano yaendelee na wao wadhibiti maeneo na watakuwa na nguvu zaidi kwani wameshafanya ushirika na koloni lao kupitia viongozi mazezeta wa nchi hiyo.