SADC Mungu anawaona jinsi mnavyoitenga Msumbiji na matatizo yao

SADC Mungu anawaona jinsi mnavyoitenga Msumbiji na matatizo yao

Ureno imejitolea kuisaidia Msumbiji kupanga mkakati na kuiwezesha jeshi la nchi hiyo kukabiliana na wanamgambo wa Kiislamu wanaotishia usalama katika mkoa wa kaskazini wa Cabo Delgado wenye utajiri wa gesi.

Mwezi uliyopita wanamgambo waligeuza uwanja wa michezo kuwa "kichinjio", ambako walikata watu vichwa na miili, kwa mujibu wa ripoti.

Waziri wa Ulinzi wa Ureno, Joao Gomes Cravinho, amesema kundi la wanajeshi wa nchi hiyo kuanzia mwezi ujao litaanza kufanya kazi na wenzao wa Msumbiji.

Wikiendi iliyopita Bw Gomes Cravinho alikamilisha ziara ya kikazi ya siku tatu katika nchi hiyo ya Kusini mwa Afrika.

Alisema Ureno, ambayo itakuwa rais wa Muungano wa Ulaya kuanzia mwaka 2021, itaunga mkono ombi la Msumbiji la kupewa msaada ambalo tayari limewasilishwa Brussels.

Ghasia katika mkoa wa Cabo Delgado umesababisha mzozo wa kibinadamu, huku zaidi ya watu 2,000 kuuawa na wengine 560,000 kufurushwa makwao.

nani aliyewatenga na kuwakimbia? nani asiyejua mcheza kwao hutunzwa? Hawa wanaowasumbua mbona wameikimbia Tanzania? Hawa makonde ni watu wagumu sana. Sio rahisi kuwaelewa.
Lakini kubwa kuliko yote, udhaifu wa jeshi la Msumbiji umetokana sana na kashfa kubwa ya rushwa, ambayo ilipelekea karibu wahisani wote kujitoa kuifadhali. Wakubwa waliiba hela nyingi sana kwenye project za kitapeli.
Africa, tukijifunza kuchukia rushwa, tutaweza kukabiliana na changamoto zetu. Rushwa imekuwa kama cancer isiyokubali tiba. Kansa inayoliua bara letu na kudhalilisha utu wetu. Ifike sehemu sasa tuseme imetosha. Tubadilike
 
Na wanawezaje kuteka bandari inayoitwa Macimbao kwa miezi kadhaa na wala hawaitumii na jeshi la Msumbiji badala kwenda kuwaondoa eti wamepeleka kikosi kupata mafunzo Ureno.Tangu wapate uhuru kweli hawana kikosi cha kuwaondoa wajinga wajinga bandarini.Mi nadhani hakuna eno lililotekwa hata wananchi wangeandamana kutaka Felipe Nyusi aondoke madarakani.
Haya maelezo yanaonyesha wewe huamini kama Msumbiji kuna hilo tawi la Isis.

Unashangaa hao wahuni kuteka bandari na jeshi kushindwa kuwaondoa umesahau Nigeria kuna kipindi Bokoharam ilidhibiti maeneo makubwa mpaka kufikia hatua kushambulia nchi jirani na jeshi lilionekana dhaifu.

Usisahau Isil ilidhibiti maeneo makubwa ya Syria na Iraq kwa wakati mmoja na majeshi ya hayo mataifa yalishindwa kufua dafu mpaka mataifa makubwa yalipoingilia kati.
 
Huo unaitwa uchambuzi na tunafanya kwa kutumia vigezo vilivyotangulia.Kama angeandika mzungu wako aliye Uiengereza ungeshangilia utumbo huo na kuukariri kwenye magazeti na redio.
Umetumia vigezo vipi hivyo?
 
Ureno imejitolea kuisaidia Msumbiji kupanga mkakati na kuiwezesha jeshi la nchi hiyo kukabiliana na wanamgambo wa Kiislamu wanaotishia usalama katika mkoa wa kaskazini wa Cabo Delgado wenye utajiri wa gesi.

Mwezi uliyopita wanamgambo waligeuza uwanja wa michezo kuwa "kichinjio", ambako walikata watu vichwa na miili, kwa mujibu wa ripoti.

Waziri wa Ulinzi wa Ureno, Joao Gomes Cravinho, amesema kundi la wanajeshi wa nchi hiyo kuanzia mwezi ujao litaanza kufanya kazi na wenzao wa Msumbiji.

Wikiendi iliyopita Bw Gomes Cravinho alikamilisha ziara ya kikazi ya siku tatu katika nchi hiyo ya Kusini mwa Afrika.

Alisema Ureno, ambayo itakuwa rais wa Muungano wa Ulaya kuanzia mwaka 2021, itaunga mkono ombi la Msumbiji la kupewa msaada ambalo tayari limewasilishwa Brussels.

Ghasia katika mkoa wa Cabo Delgado umesababisha mzozo wa kibinadamu, huku zaidi ya watu 2,000 kuuawa na wengine 560,000 kufurushwa makwao.
Islam, Islam, Islam! Unyenyekevu, unyenyekevu, unyenyekevu! No comment
 
Kwa mtazamo wangu, hili ni pigo la karne kwa Afrika hususan Msumbiji.

Wareno waliunda kundi la kigaidi la RENAMO ambalo waliwasumbua sana Msumbiji tangu enzi za ondlane, Samora hadi sisi Watanzania kwa kujaribu kushambulia maeneo ya kusini mwa Tanzania kipindi kile.

Baada ya juhudi za ndani na nje ya Msumbiji hatimaye RENAMO waliweka silaha chini baada ya kutoswa na Ureno ambayo ilikuwa inawapatia mafunzo na silaha kukata tamaa ya kuendeleza harakati zake Msumbiji, na hasa baada ya sapoti ya Afrika Kusini ya Makaburu kuomba poo na kumaliza utawala wao wa kimabavu hivyo kuondoa uwezekano wa Ureno kutumia ardhi ya Afrika ya Kusini kuhujumu Msumbiji.

Leo Ureno imejitolea kuingia Msumbiji ili kusaidia kuondoa magaidi walioweka kambo maeneo yenye utajiri wa gesi na mafuta huku ikiwaacha mamia ya wananchi wakiwa maiti kwa kuwachinja. kujitolea huku kumekuja wakati Ureno imekaribia kuchukua nafasi ya uenyekiti wa Umoja wa Ulaya hivi karibuni. Ninatabiri yafuatayo:
  1. Ureno itafanikiwa kuwasogeza magaidi nje ya maeneo wanayoyakalia sasa. na maeneo hayo Ureno itapiga kambi kuongeza ulinzi
  2. magaidi watakaofukuzwa Msumbiji wanaweza kuingia nchi za jirani ikiwemo Tanzania ambapo watakuwa wameshapewa silaha na mafunzo kukabiliana na nguvu za serikali hivyo kusababisha madhara ya kibinadamu na kiuchumi maeneo ya kusini hususani kunakopatikana gesi na mafuta
  3. Ureno itaendelea kuwepo au kuondoka Msumbiji lakini itaacha mtandao nyuma wenye maslahi kwake hasa ya mafuta na gesi. matukio ya kihalifu yatabakia ya kustukiza
  4. uwezekano wa CIA kushirikiana na Ureno kupitia NATO kuzalisha mtandao wa kihalifu maeneo hayo na kusini mwa Tanzania ni mkubwa na athari zake zitapelekea kuundwa kwa kamandi ya kimataifa ya kulinda usalama wa maeneo ya kaskazini mwa Msumbiji na kusini mwa Tanzania
  5. magaidi watajaribu kujipenyeza miji mashuhuri ya nchi wanazozilenda hasa miji ya kibiashara, miji mikuu kwa kufanya mashambulizi ya kuvizia au kujitoa mhanga.
Mapendekezo.
  1. Nchi za Afrika hususani SADC zisijisahau na kuiacha Msumbiji kupambana na magaidi peke yake.
  2. Tanzania iiweke korido ya pwani ya kusini chini ya uangalizi maalumu wa kiusalama.
  3. Wahusika wa kupanga, kushiriki ama kutoa msaada kwa magaidi washtakiwe kwa sheria husika na kuhukumiwa vikali iwe fundisho kwa wote
  4. Mfumo wa kiusalama wa Nchi yetu na washirika wake kuanzisha vituo maalumu vya kimkakati vya kupambana na ugaidi wa eneo letu kwa sababu harakati za kiuchumi lazima ziende sambamba na mikakati ya kiusalama
 
Mkuu nakuhakikishia ureno ndio wako nyuma ya huo ugaidi kwa lengo moja tu, kuchota gesi basiii.

Kwa hiyo hao wanajeshi wa ureno watakuwa hapo kwa miaka mingi sana huku eneo hilo kikiwekwa chini ya ulinzi wao kwa kisingizio cha kulinda amani, huku meli zikiingia na kutoka kujichotea gesi.
Umejuaje mkuu? Hebu tupe data kidogo nasi tufahamu wayafanyayo Wareno.
 
Poleeeeh kwa wahusika, ila Portuguese n wakarimu mnooh.
Ukarimu wao unatoka wapi?
Wangelikuwa wakarimu hiyo Msumbiji ambalo lilikuwa ni koloni lao takribani miaka 400, tungelikuta katika mazingira ya hovyo namna hiyo mwaka 1987?
 
Sasa hao sadc kila uchaguzi wanasema ni huru unategemea nini hapo
 
Wewe nae huwezi kucoment bila kutaja tundu,kwani alikubikiri ?alikubaka? Wewe unaonekana ulibikiriwa na tundu.
Kwahiyo akili zako haziwazi kingine zaidi ya nyeti, ubakaji, ngonoooo...... Pole sana
 
Sasa hizi hasira zako unamtolea nani hapa?

Hiyo ni nchi siyo kikundi cha bavicha!

Ni nchi ina mipaka na ina rais na jeshi. Sasa wewe na upumbavu wako hujiulizi hasa wanapata wapi nguvu ya kumiliki silaha na kuanzisha jeshi la uasi? Kwanini hufikichi akili kwamba nguvu inatoka kwa watu wakubwa?

Huko shule huwa mnaenda kusomea ujinga? Kama wazungu waliweza kuwamiliki na kuwatumisha babu na bibu zako enzi zile kwa lengo la kujipatia utajiri unafikiri sasa wanakupenda sana kwamba hawawezi kufadhili makundi kama hayo kwa lengo lilelile?

Tatizo lenu mmekabidhi akili kwa kina Lisu na kwakuwa kina Lisu wako kuwaramba miguu hao wazungu basi mnawaona ni wema sana. Nyumbu nyie.
Exactly.... lepid mind doesn't work any other way.
tatizo la msumbiji lilihitaji utatuzi wa jumuhia ya SADC, SADC wapo kimya hadi sasa, si kwamba hawaoni ama hawajui, wanajua kinachoendelea MSUMBIJI.

sasa ili dai lako liwe relevant inabidi tupanue mjadala kwamba kwa kuwa Ureno yupo nyuma hao jihadists wameshauri jumuhia ya SADCna nchi zingine wasitoe msaada wowote kwa Msumbiji ili wao waombe hiyo nafasi ya kuingiza jeshi lao msumbiji ili wapore rasilimali.

ikiwa mambo yapo namna hiyo kama unavyodai, basi, Tanzania tunahuska kwa namna moja ama nyingine kuhongwa ama kushawishiwa na ureno ili tusichukue hatua zozote dhidi ya hao morons.
NAJUA YOTE HAYO NI WILD THOUGHTS..

Nb: unasema wazungu ni majahili,sawa na ni kweli kabisa..

Lakini kumbuka walikupeni madolali ya Corona na nyie madolali hiyo Mkaenda kununua akina silinde.

Saw,! tu ashumu Corona haipo, inakomea Namanga:, lakini hamkupaswa kutumia hiyo pesa kununua wapinzani na kununua indi moja kwa shiling elfu 10.

ikwa hao jamaa ni mashetani, wacheni kuchukua pesa zao...
 
Back
Top Bottom