Katika nchi zilizokuwa na makoloni Afrika Ureno ndio maskini kuliko wote.Msumbiji hakuondoka kwa wema bali baada kufanya ukatili mkubwa aking'ang'ania kubaki mpaka hali ilipokuwa hairuhusu.Ilipoondoka ilifanya uchochezi na wanamsumbiji wakaendelea kupigana kwa miaka mingi kati ya Renamo na Frelimo.Portugal Ni maskini kuliko huko kwenu Kilwa. Hamna kitu hapo zaid ya porojo
Basi! Mission accomplished, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao Ureno sasa ndio wafadhili wa huo ugaidi na sasa wanaenda kuchota gesi kiulainiii,
Ukiona kifaranga kipo sehemu ujue mamaake hayupo mbali sana. Ni vizuri sasa mama kifaranga kajitokeza.
Kabisa sister!Na hapo utakuta ndani ya serika wapo kina tundu wao kila kona na hatua
Vibaraka sio wa kuchekea hata kidogo
Mkuu nakuhakikishia ureno ndio wako nyuma ya huo ugaidi kwa lengo moja tu, kuchota gesi basiii.Umenifikirisha !!! [emoji848]
Hahahaaa vi Tundu na vi Zito ni noumer 😂😂😂😂Kabisa sister!
Mfano kule ubelgiji Vi tundu kutoka DRC vimejaa kibao
Wamakonde wale aisee Ni wa kuonewa huruma. Japo Wana Mali ardhini mpaka aibu. Soon Msumbiji wataanza kufaid matunda Kama Brazil sitashangaa waki-host World Cup 2028.Katika nchi zilizokuwa na makoloni Afrika Ureno ndio maskini kuliko wote.Msumbiji hakuondoka kwa wema bali baada kufanya ukatili mkubwa aking'ang'ania kubaki mpaka hali ilipokuwa hairuhusu.Ilipoondoka ilifanya uchochezi na wanamsumbiji wakaendelea kupigana kwa miaka mingi kati ya Renamo na Frelimo.
Sasa nchi hiyo ikiwa na utajiri ni fursa yao na wao kuvuna na kuwa kama wenzao.Si rahisi kumwachia jirani yake Ufaransa kupitia kampuni ya Total kuvuna utajiri huo.Kikosi kilichopelekwa huko kikirudi kitapambana kwa mbinu nyingi dhidi ya wachina na wafaransa ambao wameanza kujimilikisha nchi hiyo kwa kisingizio cha magaidi hewa.
Wareno nao hawatoacha kutumia kisingizio hicho hicho ili mapambano yaendelee na wao wadhibiti maeneo na watakuwa na nguvu zaidi kwani wameshafanya ushirika na koloni lao kupitia viongozi mazezeta wa nchi hiyo.
Yes this is the fact coz msumbuji ilikuwa koroni la ureno zaman sasa kaamua kuludi kwa njia nyungine ili afanye alichokusudia, wanafazili ugaidi Alf wanakuja kwa kigezo cha kulinda sio kwamba watawaondoa hao magaidi . wataendelea kubaki hapo wakichota mafuta tu.Mkuu nakuhakikishia ureno ndio wako nyuma ya huo ugaidi kwa lengo moja tu, kuchota gesi basiii.
Kwa hiyo hao wanajeshi wa ureno watakuwa hapo kwa miaka mingi sana huku eneo hilo kikiwekwa chini ya ulinzi wao kwa kisingizio cha kulinda amani, huku meli zikiingia na kutoka kujichotea gesi.
Hili wazo ni lakufanyiwa kazi. Ngoja tuanze kuongea na wamakonde wa Msumbiji.Naishauri serikali ya Tanzania iangalie namna ya kuivamia Msumbiji kama walivyoivamia Zanzibar na kuiweka kwenye muungano fake wa Tembo na sisimizi
Umeandika propaganda zisizokuwa na ushahidi wowote.Katika nchi zilizokuwa na makoloni Afrika Ureno ndio maskini kuliko wote.Msumbiji hakuondoka kwa wema bali baada kufanya ukatili mkubwa aking'ang'ania kubaki mpaka hali ilipokuwa hairuhusu.Ilipoondoka ilifanya uchochezi na wanamsumbiji wakaendelea kupigana kwa miaka mingi kati ya Renamo na Frelimo.
Sasa nchi hiyo ikiwa na utajiri ni fursa yao na wao kuvuna na kuwa kama wenzao.Si rahisi kumwachia jirani yake Ufaransa kupitia kampuni ya Total kuvuna utajiri huo.Kikosi kilichopelekwa huko kikirudi kitapambana kwa mbinu nyingi dhidi ya wachina na wafaransa ambao wameanza kujimilikisha nchi hiyo kwa kisingizio cha magaidi hewa.
Wareno nao hawatoacha kutumia kisingizio hicho hicho ili mapambano yaendelee na wao wadhibiti maeneo na watakuwa na nguvu zaidi kwani wameshafanya ushirika na koloni lao kupitia viongozi mazezeta wa nchi hiyo.
walikaa kimya mkasema wapo kimya kwasababu ndio wanao waafadhili hao jihadists, mkoloni wao kaamua kutoa msaada iliku- get rid those morons,yeye ndiye Kawa mchawi, wamekwenda kuchota gas.Mkuu nakuhakikishia ureno ndio wako nyuma ya huo ugaidi kwa lengo moja tu, kuchota gesi basiii.
Kwa hiyo hao wanajeshi wa ureno watakuwa hapo kwa miaka mingi sana huku eneo hilo kikiwekwa chini ya ulinzi wao kwa kisingizio cha kulinda amani, huku meli zikiingia na kutoka kujichotea gesi.
Nyie ndio wafuasi wa Lisu ambao kwenu mzungu ndio kila kitu.walikaa kimya mkasema wapo kimya kwasababu ndio wanao waafadhili hao jihadists, mkoloni wao kaamua kutoa msaada iliku- get rid those morons,yeye ndiye Kawa mchawi, wamekwenda kuchota gas.
watu wenye mentality za namna yako uwa ni vichaa.
hakika utakuwa ni mfuasi wa ccm, uko nyumbani kwa manafiq
Huo unaitwa uchambuzi na tunafanya kwa kutumia vigezo vilivyotangulia.Kama angeandika mzungu wako aliye Uiengereza ungeshangilia utumbo huo na kuukariri kwenye magazeti na redio.Umeandika propaganda zisizokuwa na ushahidi wowote.
Na wanawezaje kuteka bandari inayoitwa Macimbao kwa miezi kadhaa na wala hawaitumii na jeshi la Msumbiji badala kwenda kuwaondoa eti wamepeleka kikosi kupata mafunzo Ureno.Tangu wapate uhuru kweli hawana kikosi cha kuwaondoa wajinga wajinga bandarini.Mi nadhani hakuna eno lililotekwa hata wananchi wangeandamana kutaka Felipe Nyusi aondoke madarakani.Nyie ndio wafuasi wa Lisu ambao kwenu mzungu ndio kila kitu.
Ungekuwa na akili ungejiuliza hilo kundi lina pata siraha wapi na wanaziingizaje.
Kama Mwenyekiti mstaafu anawafukuza wakimbizi na kuwarudisha kwao.
Ureno imejitolea kuisaidia Msumbiji kupanga mkakati na kuiwezesha jeshi la nchi hiyo kukabiliana na wanamgambo wa Kiislamu wanaotishia usalama katika mkoa wa kaskazini wa Cabo Delgado wenye utajiri wa gesi.
Mwezi uliyopita wanamgambo waligeuza uwanja wa michezo kuwa "kichinjio", ambako walikata watu vichwa na miili, kwa mujibu wa ripoti.
Waziri wa Ulinzi wa Ureno, Joao Gomes Cravinho, amesema kundi la wanajeshi wa nchi hiyo kuanzia mwezi ujao litaanza kufanya kazi na wenzao wa Msumbiji.
Wikiendi iliyopita Bw Gomes Cravinho alikamilisha ziara ya kikazi ya siku tatu katika nchi hiyo ya Kusini mwa Afrika.
Alisema Ureno, ambayo itakuwa rais wa Muungano wa Ulaya kuanzia mwaka 2021, itaunga mkono ombi la Msumbiji la kupewa msaada ambalo tayari limewasilishwa Brussels.
Ghasia katika mkoa wa Cabo Delgado umesababisha mzozo wa kibinadamu, huku zaidi ya watu 2,000 kuuawa na wengine 560,000 kufurushwa makwao.
Ficha upumbavu wako. naNyie ndio wafuasi wa Lisu ambao kwenu mzungu ndio kila kitu.
Ungekuwa na akili ungejiuliza hilo kundi lina pata siraha wapi na wanaziingizaje.
Sasa hizi hasira zako unamtolea nani hapa?Ficha upumbavu wako. na
sina haja ya kujiuliza kuhusu ilo, unawaza kipumbavu ndo maana unaona mtu/kikiundi kumiliki silaha(bunduki) ni jambo nyeti na lisilowekana kwa namna nyepesi.
Yaan ulimwengu wa sasa ni wakujiuliza watu wanapata wapi bunduki,kweli?.
hao jihadists wanamiliki nuclear warhead hata tudhani kuwa sio jambo jepesi?.
ikiwa bunduki za kwenda kushambulia watu eneo la bunge tena mchana zinapatika, ni kwa namna ipi hao wanaofanya ujahili kwa kujificha wakoswe?.