SADC Mungu anawaona jinsi mnavyoitenga Msumbiji na matatizo yao


nani aliyewatenga na kuwakimbia? nani asiyejua mcheza kwao hutunzwa? Hawa wanaowasumbua mbona wameikimbia Tanzania? Hawa makonde ni watu wagumu sana. Sio rahisi kuwaelewa.
Lakini kubwa kuliko yote, udhaifu wa jeshi la Msumbiji umetokana sana na kashfa kubwa ya rushwa, ambayo ilipelekea karibu wahisani wote kujitoa kuifadhali. Wakubwa waliiba hela nyingi sana kwenye project za kitapeli.
Africa, tukijifunza kuchukia rushwa, tutaweza kukabiliana na changamoto zetu. Rushwa imekuwa kama cancer isiyokubali tiba. Kansa inayoliua bara letu na kudhalilisha utu wetu. Ifike sehemu sasa tuseme imetosha. Tubadilike
 
Haya maelezo yanaonyesha wewe huamini kama Msumbiji kuna hilo tawi la Isis.

Unashangaa hao wahuni kuteka bandari na jeshi kushindwa kuwaondoa umesahau Nigeria kuna kipindi Bokoharam ilidhibiti maeneo makubwa mpaka kufikia hatua kushambulia nchi jirani na jeshi lilionekana dhaifu.

Usisahau Isil ilidhibiti maeneo makubwa ya Syria na Iraq kwa wakati mmoja na majeshi ya hayo mataifa yalishindwa kufua dafu mpaka mataifa makubwa yalipoingilia kati.
 
Huo unaitwa uchambuzi na tunafanya kwa kutumia vigezo vilivyotangulia.Kama angeandika mzungu wako aliye Uiengereza ungeshangilia utumbo huo na kuukariri kwenye magazeti na redio.
Umetumia vigezo vipi hivyo?
 
Islam, Islam, Islam! Unyenyekevu, unyenyekevu, unyenyekevu! No comment
 
Kwa mtazamo wangu, hili ni pigo la karne kwa Afrika hususan Msumbiji.

Wareno waliunda kundi la kigaidi la RENAMO ambalo waliwasumbua sana Msumbiji tangu enzi za ondlane, Samora hadi sisi Watanzania kwa kujaribu kushambulia maeneo ya kusini mwa Tanzania kipindi kile.

Baada ya juhudi za ndani na nje ya Msumbiji hatimaye RENAMO waliweka silaha chini baada ya kutoswa na Ureno ambayo ilikuwa inawapatia mafunzo na silaha kukata tamaa ya kuendeleza harakati zake Msumbiji, na hasa baada ya sapoti ya Afrika Kusini ya Makaburu kuomba poo na kumaliza utawala wao wa kimabavu hivyo kuondoa uwezekano wa Ureno kutumia ardhi ya Afrika ya Kusini kuhujumu Msumbiji.

Leo Ureno imejitolea kuingia Msumbiji ili kusaidia kuondoa magaidi walioweka kambo maeneo yenye utajiri wa gesi na mafuta huku ikiwaacha mamia ya wananchi wakiwa maiti kwa kuwachinja. kujitolea huku kumekuja wakati Ureno imekaribia kuchukua nafasi ya uenyekiti wa Umoja wa Ulaya hivi karibuni. Ninatabiri yafuatayo:
  1. Ureno itafanikiwa kuwasogeza magaidi nje ya maeneo wanayoyakalia sasa. na maeneo hayo Ureno itapiga kambi kuongeza ulinzi
  2. magaidi watakaofukuzwa Msumbiji wanaweza kuingia nchi za jirani ikiwemo Tanzania ambapo watakuwa wameshapewa silaha na mafunzo kukabiliana na nguvu za serikali hivyo kusababisha madhara ya kibinadamu na kiuchumi maeneo ya kusini hususani kunakopatikana gesi na mafuta
  3. Ureno itaendelea kuwepo au kuondoka Msumbiji lakini itaacha mtandao nyuma wenye maslahi kwake hasa ya mafuta na gesi. matukio ya kihalifu yatabakia ya kustukiza
  4. uwezekano wa CIA kushirikiana na Ureno kupitia NATO kuzalisha mtandao wa kihalifu maeneo hayo na kusini mwa Tanzania ni mkubwa na athari zake zitapelekea kuundwa kwa kamandi ya kimataifa ya kulinda usalama wa maeneo ya kaskazini mwa Msumbiji na kusini mwa Tanzania
  5. magaidi watajaribu kujipenyeza miji mashuhuri ya nchi wanazozilenda hasa miji ya kibiashara, miji mikuu kwa kufanya mashambulizi ya kuvizia au kujitoa mhanga.
Mapendekezo.
  1. Nchi za Afrika hususani SADC zisijisahau na kuiacha Msumbiji kupambana na magaidi peke yake.
  2. Tanzania iiweke korido ya pwani ya kusini chini ya uangalizi maalumu wa kiusalama.
  3. Wahusika wa kupanga, kushiriki ama kutoa msaada kwa magaidi washtakiwe kwa sheria husika na kuhukumiwa vikali iwe fundisho kwa wote
  4. Mfumo wa kiusalama wa Nchi yetu na washirika wake kuanzisha vituo maalumu vya kimkakati vya kupambana na ugaidi wa eneo letu kwa sababu harakati za kiuchumi lazima ziende sambamba na mikakati ya kiusalama
 
Umejuaje mkuu? Hebu tupe data kidogo nasi tufahamu wayafanyayo Wareno.
 
Poleeeeh kwa wahusika, ila Portuguese n wakarimu mnooh.
Ukarimu wao unatoka wapi?
Wangelikuwa wakarimu hiyo Msumbiji ambalo lilikuwa ni koloni lao takribani miaka 400, tungelikuta katika mazingira ya hovyo namna hiyo mwaka 1987?
 
Sasa hao sadc kila uchaguzi wanasema ni huru unategemea nini hapo
 
Wewe nae huwezi kucoment bila kutaja tundu,kwani alikubikiri ?alikubaka? Wewe unaonekana ulibikiriwa na tundu.
Kwahiyo akili zako haziwazi kingine zaidi ya nyeti, ubakaji, ngonoooo...... Pole sana
 
Sadc pumbafu sana...hawaoni kama hilo ni tatizo
 
Exactly.... lepid mind doesn't work any other way.
tatizo la msumbiji lilihitaji utatuzi wa jumuhia ya SADC, SADC wapo kimya hadi sasa, si kwamba hawaoni ama hawajui, wanajua kinachoendelea MSUMBIJI.

sasa ili dai lako liwe relevant inabidi tupanue mjadala kwamba kwa kuwa Ureno yupo nyuma hao jihadists wameshauri jumuhia ya SADCna nchi zingine wasitoe msaada wowote kwa Msumbiji ili wao waombe hiyo nafasi ya kuingiza jeshi lao msumbiji ili wapore rasilimali.


ikiwa mambo yapo namna hiyo kama unavyodai, basi, Tanzania tunahuska kwa namna moja ama nyingine kuhongwa ama kushawishiwa na ureno ili tusichukue hatua zozote dhidi ya hao morons.
NAJUA YOTE HAYO NI WILD THOUGHTS..

Nb: unasema wazungu ni majahili,sawa na ni kweli kabisa..

Lakini kumbuka walikupeni madolali ya Corona na nyie madolali hiyo Mkaenda kununua akina silinde.

Saw,! tu ashumu Corona haipo, inakomea Namanga:, lakini hamkupaswa kutumia hiyo pesa kununua wapinzani na kununua indi moja kwa shiling elfu 10.

ikwa hao jamaa ni mashetani, wacheni kuchukua pesa zao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…