Uchaguzi 2020 SADC yaipongeza Tanzania kwa kuendesha Uchaguzi halali

Weka tamko hapa acha porojo.

Hata kama SADC wakipongeza sisi watanzania tunasema hapana!
Hivi jamana printer machine zao ni kubwa sana
Nimeambiwa ata wange taka zinge weza piga ✔️ tofauti tofauti
 
Hakuna lingine lolote ambalo SADC wanaweza kulisema kuhusu uchaguzi wa Tanzania zaid ya kukubaliana nasi.
 
Jukwaa la Tume za Uchaguzi la SADC limeipongeza serikali ya Tanzania kwa kuendesha uchaguzi halali.

Jukwaa hilo linaundwa na tume za uchaguzi za mataifa 14 ya SADC.

Tamko lililotolewa na jukwaa hilo kutoka makao makuu yake yaliyopo Botswana, linasema NEC na ZEC zimeendesha uchaguzi huru, wa haki, unaoaminika na uliogubikwa na uwazi wa hali ya juu.

Aidha, jukwaa hilo limezitaka nchi wanachama wa SADC kujifunza kiwango cha juu cha demokrasia kilichooneshwa na Tanzania na Zanzibar kwenye chaguzi kuu zake za mwaka 2020.
Duuh.. kumbe SADC ni hamnazo!
 
Mbona Watanzania wenyewe walikuwepo kwenye vituo vya kupigia kura? Wameona kura kwenye mabegi zikiletwa kwenye vituo, wameona mawakala wa vyama vya upinzani wakifukuzwa, wameona mawakala wa vyama vya upinzani wakinyimwa utambulisho, nk. Picha zimepigwa na video pia?

Hata kabla ya uchaguzi, Watanzania waliona vyombo vya habari zikitangaza habari za CCM na Magufuli tu, wagombea wa vyama vya upinzani wakienguliwa wengine kwa kutekwa ili muda wa kurudisha fomu upite, nk. Hawa SADC ndio nani na wakaa nchi gani? Kama ubeberu upo basi ndio huu wa SADC kuja kuwaambia Watanzania uchaguzi eti ulikuwaje. Ni kichekesho.
Nyakati hizi ndo mnataja watanzania lakini mkishakabidhiwa madaraka hamuwakumbuki tena.
 
Jukwaa la Tume za Uchaguzi la SADC limeipongeza serikali ya Tanzania kwa kuendesha Uchaguzi halali.

Jukwaa hilo linaundwa na tume za uchaguzi za mataifa 14 ya SADC.

Tamko lililotolewa na jukwaa hilo kutoka makao makuu yake yaliyopo Botswana, linasema NEC na ZEC zimeendesha uchaguzi huru, wa haki, unaoaminika na uliogubikwa na uwazi wa hali ya juu.

Aidha, jukwaa hilo limezitaka nchi wanachama wa SADC kujifunza kiwango cha juu cha demokrasia kilichooneshwa na Tanzania na Zanzibar kwenye chaguzi kuu zake za mwaka 2020.
Original taarifa tafadhali. Usituwekee kopi ya tafsiri isyo na uhakika.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji4]
 
Screenshot_20201101_140200.jpg
 
Back
Top Bottom