uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,084
Sema wewe zuzu mwenyewe sio watanzani tupo 12M tuliompa kura MagufuliWeka tamko hapa acha porojo.
Hata kama SADC wakipongeza sisi watanzania tunasema hapana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema wewe zuzu mwenyewe sio watanzani tupo 12M tuliompa kura MagufuliWeka tamko hapa acha porojo.
Hata kama SADC wakipongeza sisi watanzania tunasema hapana!
Kwani mpaka mzungu waseme ndio uone ni sawa au la.Umeona ripoti ya wazungu??? Yaani hata wazungu wameona ubatili, wewe hujauona?? Jiwe alikataliwa kwa kiwango kikubwa Sana.
Siyo kwamba mm makazi yangu ni mtandaoni. Unaijua hili??Shida Wazungu hawaishi Tanzania, kuna watu kibao wanaomkubali Magufuli wengine hawako hata mitandaoni ukipata bahati ya kukutana na watu mbalimbali/tofautitofauti unaweza ukashangaa idadi ya watu wanaomkubali!! Ndo maana nikasema ni heri kusema baadhi ya Watanzania
12mil za kughushi hizi. Hazina uhalisia.Sema wewe zuzu mwenyewe sio watanzani tupo 12M tuliompa kura Magufuli
Ni kweli watanzania tumeamua kuwa kuanzia kesho tutaanza kufanya maandamano ya kumuondoa mhutu muuwaji na mvunja katiba huyu. Ambaye amedhulumu haki za watu.Watanzania tumesha amua
Hayo maandamano nyie watu 1M ndio mmeamua kumbuka kuna watu 12M nyuma ya jeshi la police. Tulio mchagua Magufuli.Ni kweli watanzania tumeamua kuwa kuanzia kesho tutaanza kufanya maandamano ya kumuondoa mhutu muuwaji na mvunja katiba huyu. Ambaye amedhulumu haki za watu.
Watanzania gani labda wewe miungu yenu ya wazunguWeka tamko hapa acha porojo.
Hata kama SADC wakipongeza sisi watanzania tunasema hapana!
Jiwe mwenyewe amezidiwa na hofu kwa namna watu wake walivyotekeleza uchafuzi ktk uchaguzi. Sukari imemomonyoa kabisa nuru ya uso wake. Hapo hapo anawaza kesho maandamano. Itakuwaje?Hayo maandamano nyie watu 1M ndio mmeamua kumbuka kuna watu 12M nyuma ya jeshi la police. Tulio mchagua Magufuli.
Maanadamano ni nyie na huyo shoga wenu
Na unaweza ukashangaa pia!Shida Wazungu hawaishi Tanzania, kuna watu kibao wanaomkubali Magufuli wengine hawako hata mitandaoni ukipata bahati ya kukutana na watu mbalimbali/tofautitofauti unaweza ukashangaa idadi ya watu wanaomkubali!! Ndo maana nikasema ni heri kusema baadhi ya Watanzania
Weka tamko hapa acha porojo.
Hata kama SADC wakipongeza sisi watanzania tunasema hapana!
Safari hii Yale makato ya posho na mishahara ya Wabunge kwishneiWanasaccos hawapendi kusikia taarifa hii. Watakufa na stress.
Hayo yalikua yanatarajiwa kwa sababu ni nchi wanachama, Serikali zinazounda hayo mataifa haziwezi kuwa zimetofautiana sana na tawala zinazounda hiyo jumuia ni lazima wajitetee kuwa uchaguzi ulikua huru na haki kwani hata serikali za maeneo yote ya jumuia hio mrengo wao ni ule ule.
Shughuli imeisha, JPM amekabidhiwa cheti cha ushindi muda si mrefu, vyama vyote vya upinzani kasoro CHADEMA, ACT na CUF ndio havikuwapo yaani vyama 12 vilikuwapo kushuhudia tukio...Q
IMEISHA HIYO....!
Acha kujitoa ufahamu wewe.Umesikia report zilivyo gongana .Hata kwenye gazeti la citizen imeandikwa.Eti report imetolewa makao makuu ya SADC .umeandika utopolo mtupuJukwaa la Tume za Uchaguzi la SADC limeipongeza serikali ya Tanzania kwa kuendesha Uchaguzi halali.
Jukwaa hilo linaundwa na tume za uchaguzi za mataifa 14 ya SADC.
Tamko lililotolewa na jukwaa hilo kutoka makao makuu yake yaliyopo Botswana, linasema NEC na ZEC zimeendesha uchaguzi huru, wa haki, unaoaminika na uliogubikwa na uwazi wa hali ya juu.
Aidha, jukwaa hilo limezitaka nchi wanachama wa SADC kujifunza kiwango cha juu cha demokrasia kilichooneshwa na Tanzania na Zanzibar kwenye chaguzi kuu zake za mwaka 2020.
Wewe siyo siss.Weka tamko hapa acha porojo.
Hata kama SADC wakipongeza sisi watanzania tunasema hapana!
Weka tamko hapa acha porojo.
😀 mkuu unavyowakubali wazungu sasaUmeona ripoti ya wazungu??? Yaani hata wazungu wameona ubatili, wewe hujauona?? Jiwe alikataliwa kwa kiwango kikubwa Sana.
Balaa tupu mkuuAiseee!
Kenya nao wamo?
Unawaweka wapi Botswana, Namibia, na hata Malawi kwa sasa hivi?
Ila inashangaza kwa SADC kutoa taarifa ya namna hii. Hawa ni Secretariat waliotoa taarifa, na hata taarifa yenyewe naona ni ya kujiumauma na aibu nyingi.