Sadio mane alikua anatumia simu ya kawaida sana alafu ina cracks wala hajari
Coz, anakuambia kwao watu wengi sana wanashida, bora kidogo anachokipata akagawane na ndugu jamaa na marafi huko Africa, kuliko kufanya anasa
Yani kuwa na simu kubwa, nzuri kwake ni anasa sana
Kuna mchezaji wa Liverpool (kama sio Henderson/Robertson) ndio akajitolea kumnunulia simu nzuri
Sadio mane alikataa kufanyiwa sherehe na wenzake wa Liverpool baada ya kushinda AFCON
Akidai kuwa sio vizuri kwa upande wa salah, coz ndio waliofungwa
So iyo sherehe ihailishwe tu
Sadio mane, mara nyingi huwa akiwa kwao anasaidia sana
Kujenga shule, madrasa, .....
Sadio mane sasa hivi anataka kwenda Bayern, sababu mshahara ni mdogo. Na ukiangalia kwa umakini utaona anahitaji mshahara mkubwa kwasababu anafamilia kubwa sana kwao ndugu, jamaa na marafiki yeye ndio kama anawapambania
Liverpool wamuongezee mpunga
Au asepe aende kwenye mshiko mrefu.
Sadio mane hana mapenzi na timu, yupo ulaya kutafuta pesa