Sadio Mane aenda kucheza mpira mtaani na rafiki zake wa utotoni

Dunia yakoo

Senior Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
139
Reaction score
214
🇸🇳| Mwanaume Kama Sadio 🫡

Sadio Mané alikwenda kucheza mpira wa miguu kijijini kwao Bambali na marafiki zake wa utotoni.

Mvua hiyo haikuweza kumzuia nyota huyo wa Senegal kukumbuka enzi zake za soka za utotoni alipowasilisha pia kombe la AFCON kwa watu wa kijiji chake.

FB_IMG_1655322715180.jpg
 
Ukiwa na heka hata ukinya barabarani utasifiwa kuwa umejali afya. Lkn maskini hata afanye jambi la heri hutafsiriwa vibaya
 
Samata full kuringa Nakumbuka walitaka kumpa mtaa akatoa nje wanyama akakubali faster
 
Mtu wa watu,tena walee aliokua nao.
 
Tudokezee kidogo
Sadio mane alikua anatumia simu ya kawaida sana alafu ina cracks wala hajari
Coz, anakuambia kwao watu wengi sana wanashida, bora kidogo anachokipata akagawane na ndugu jamaa na marafi huko Africa, kuliko kufanya anasa
Yani kuwa na simu kubwa, nzuri kwake ni anasa sana
Kuna mchezaji wa Liverpool (kama sio Henderson/Robertson) ndio akajitolea kumnunulia simu nzuri

Sadio mane alikataa kufanyiwa sherehe na wenzake wa Liverpool baada ya kushinda AFCON
Akidai kuwa sio vizuri kwa upande wa salah, coz ndio waliofungwa
So iyo sherehe ihailishwe tu

Sadio mane, mara nyingi huwa akiwa kwao anasaidia sana
Kujenga shule, madrasa, .....

Sadio mane sasa hivi anataka kwenda Bayern, sababu mshahara ni mdogo. Na ukiangalia kwa umakini utaona anahitaji mshahara mkubwa kwasababu anafamilia kubwa sana kwao ndugu, jamaa na marafiki yeye ndio kama anawapambania

Liverpool wamuongezee mpunga
Au asepe aende kwenye mshiko mrefu.

Sadio mane hana mapenzi na timu, yupo ulaya kutafuta pesa
 
Yaani Liverpool tunazingua sana
Yaani mpaka ox kampita mshahara mane kweli?
 
Back
Top Bottom