Abidal mweupe?Man city mane hawezi kucheza. Pep hapendi weusi
Abidal mweupe?
Fabian delph mweupe?
Alaba mweupe?
Sterling mweupe?
Benjamin mendy mweupe?
Eliaquim Mangala mweupe?
Fernandinho mweupe?
Waafrika tuna mentality za kibaguzi asee.
Kwanza kabisa mane sio m-cameroon, ni m-senegal.Mwishoni umeweka neno wa Africa.
Hao wote uliowataja juu hakuna Mwafrica hata mmoja ?
Ukitazama passports zao huwezi kuta nchi za ki africa.
Makocha wanawakataa weusi wa africa kwa sababu ya ratiba ya afcon na pia wana tabia za kiswahili.
Mane ni anatoka cameroon. Pep hawezi mkubali maana afcon na ligi za ulaya na uefa zinachezwa muda sawa
Kwanza kabisa mane sio m-cameroon, ni m-senegal.
Pili, kama hoja ni uafrika sababu ya Afcon, mahrez pia ni muafrika na kaletwa na guardiola mwenyewe pale City na huwa anaenda Afcon.
Hoja yako inakosa mashiko.
Kwanza kabisa mane sio m-cameroon, ni m-senegal.
Pili, kama hoja ni uafrika sababu ya Afcon, mahrez pia ni muafrika na kaletwa na guardiola mwenyewe pale City na huwa anaenda Afcon.
Hoja yako inakosa mashiko.
Kwamba Mane anakidhi vigezo vyote, sawa!Mahrez sio mswahili.
Nimesema sababu mbili ambazo afcon na uswahili.
Mane ana sababu zote mbili.
Mahrez ana sababu moja tu
Umeteleza kidogo hapo, Mahrez ni wa Algeria si MoroccoMahrez sio mswahili. Mahrez kazaliwa ulaya ufaransa. Kakulia ulaya.
Morocco ameiwakilisha sababu ni nchi yake ya asili tu. Hivyo hana tabia za kiswahili.
Mimi nadhani tatizo litakuwa kwa makocha wa Bayern wanashindwa kutengeneza mfumo wa kuendana naye. Kwa maana hata akiwa Liverpool Robertson alikuwa anapanda sana upande wa kushoto japo nikiri kuwa si kwa kiwango cha Alphonso Davies.Mane hana wakati mzuri Bayern...
Upande anaocheza yupo Davies. Davies anacheza upande wote ule. Mane anakuwa hawezi kuonesha makali yake koz kazi kubwa anafanya Davies ktk ule upande. Labda kocha aamue kuswitch namba ampeleke upande wa kulia angalau anaweza kuonekana...ila upande wa kushoto hawezi kung'aa kamwe...
Kwani nimesema mzungu au nimesema mjerumani?Kwani Sane ni mzungu!?
We boya ni mzungu kwenu ndo hamjiaminiKipa wa bayern munich ni muzungu na mjerumani yeye alitoa maoni wala hakupiga mtu akapigwa faini bilion kadhaa
Waafrika tatizo lenu hamjiamini na uwezo mdogo wa kufikiri ndio mnatetea hata ujinga
Akanji ni mswisi aje ndo mduchiPep hana ubaguzi wowote ni kipaji chako na kufuata mfumo wa mwalimu ndio vinakuhakikishia kubaki kuwa mchezaji wa Pep
Waafrika tunapenda sana kujijaza uongo eti hapendi weusi kutoka africa huo ni uwongo mkubwa
Pep ameacha wachezaji wazungu wengi kwenye kikosi chake kuliko weusi so msiwe mnakurupuka
Akanji ni mdutch sio mswid
Mane hajaonewa, kapewa stahiki yake hakupaswa piganaKipa wa bayern munich ni muzungu na mjerumani yeye alitoa maoni wala hakupiga mtu akapigwa faini bilion kadhaa
Waafrika tatizo lenu hamjiamini na uwezo mdogo wa kufikiri ndio mnatetea hata ujinga
Anapaswa amuombe msamaha tu kwa faida ya future yake huo ndio uungwana ila kukariri kuwa waafrica wanabaguliwa mimi nakataa ni kwamba tunajibagua wenyewe kwa kuwa na akili mgando.Mane ashukuru tukio halujarekodiwa angekuwa katika wakati mgumu
Huyo sane mwnyw ni msenegal aliye chukua uraia wa ujerumani.Dah nimeumia[emoji3064]
Jamaa ni mtu poa sana na amevumilia mengi.
Naona sasa wanataka kujaribu CV yake kwa nguvu.
Huyo Sane anataka Mane achafuke.
Wamuache kijana wa watu jamani,ana watu wengi nyuma yake wanamtegemea.
Mbna huwa wanasema Ni ustadhi ,shekh mzuri sna kwamba kila alfajiri huamka na kwenda kufagia misikiti zote mjini munichi[emoji3][emoji599] Bayern have suspended Sadio Mané after his fight with Leroy Sané after Man City game when he punched Sané in his face after having an argument during the match.
Bayern announce that Mané will not be in the squad against Hoffenheim. In addition, the Senegalese will be fined. https://t.co/3ZL3aKbWx5
Je ni bora angebaki Liverpool?