Sadio Mane ageuka bondia, Bayern yamfungia

Sadio Mane ageuka bondia, Bayern yamfungia

Abidal mweupe?
Fabian delph mweupe?
Alaba mweupe?
Sterling mweupe?
Benjamin mendy mweupe?
Eliaquim Mangala mweupe?
Fernandinho mweupe?

Waafrika tuna mentality za kibaguzi asee.

Mwishoni umeweka neno wa Africa.

Hao wote uliowataja juu hakuna Mwafrica hata mmoja ?

Ukitazama passports zao huwezi kuta nchi za ki africa.

Makocha wanawakataa weusi wa africa kwa sababu ya ratiba ya afcon na pia wana tabia za kiswahili.

Mane ni anatoka cameroon. Pep hawezi mkubali maana afcon na ligi za ulaya na uefa zinachezwa muda sawa
 
Kwanza kabisa mane sio m-cameroon, ni m-senegal.

Pili, kama hoja ni uafrika sababu ya Afcon, mahrez pia ni muafrika na kaletwa na guardiola mwenyewe pale City na huwa anaenda Afcon.
Hoja yako inakosa mashiko.
 
Mahrez sio mswahili.

Nimesema sababu mbili ambazo afcon na uswahili.

Mane ana sababu zote mbili.

Mahrez ana sababu moja tu
 
Kwanza kabisa mane sio m-cameroon, ni m-senegal.

Pili, kama hoja ni uafrika sababu ya Afcon, mahrez pia ni muafrika na kaletwa na guardiola mwenyewe pale City na huwa anaenda Afcon.
Hoja yako inakosa mashiko.

Kwenye hoja yangu nimeweka sababu mbili ambazo ni Afcon na tabia za uswahili zetu waafrica tuliozaliwa na tuliokulia africa.

Mane factor zote mbili zinamuingia.

Mahrez factor moja tu inamuingia ya afcon. Factor ya pili haimuingii ndio maana pep kamchukua

Mahrez sio mswahili. Mahrez kazaliwa ulaya ufaransa. Kakulia ulaya.

Algeria ameiwakilisha sababu ni nchi yake ya asili tu. Hivyo hana tabia za kiswahili.

Nitajie mchezaji gani pep guardiola amewai msajili ambaye anaingia kwenye factor zote mbili ambazo ni
1. Kwenda afcon kuwakilisha nchi yake
2. Kuzaliwa na kukulia africa.
 
Mane hana wakati mzuri Bayern...
Upande anaocheza yupo Davies. Davies anacheza upande wote ule. Mane anakuwa hawezi kuonesha makali yake koz kazi kubwa anafanya Davies ktk ule upande. Labda kocha aamue kuswitch namba ampeleke upande wa kulia angalau anaweza kuonekana...ila upande wa kushoto hawezi kung'aa kamwe...
 
Mimi nadhani tatizo litakuwa kwa makocha wa Bayern wanashindwa kutengeneza mfumo wa kuendana naye. Kwa maana hata akiwa Liverpool Robertson alikuwa anapanda sana upande wa kushoto japo nikiri kuwa si kwa kiwango cha Alphonso Davies.
 
Kipa wa bayern munich ni muzungu na mjerumani yeye alitoa maoni wala hakupiga mtu akapigwa faini bilion kadhaa

Waafrika tatizo lenu hamjiamini na uwezo mdogo wa kufikiri ndio mnatetea hata ujinga
We boya ni mzungu kwenu ndo hamjiamini
 
Pep hana ubaguzi wowote ni kipaji chako na kufuata mfumo wa mwalimu ndio vinakuhakikishia kubaki kuwa mchezaji wa Pep
Waafrika tunapenda sana kujijaza uongo eti hapendi weusi kutoka africa huo ni uwongo mkubwa
Pep ameacha wachezaji wazungu wengi kwenye kikosi chake kuliko weusi so msiwe mnakurupuka

Akanji ni mdutch sio mswid
Akanji ni mswisi aje ndo mduchi
 
Kipa wa bayern munich ni muzungu na mjerumani yeye alitoa maoni wala hakupiga mtu akapigwa faini bilion kadhaa

Waafrika tatizo lenu hamjiamini na uwezo mdogo wa kufikiri ndio mnatetea hata ujinga
Mane hajaonewa, kapewa stahiki yake hakupaswa pigana
 
Waliokuepo kwenye tukio ndo wanaelewa zaidi, ukiwaskiza wachezaji wenzao ndo utajua ukweli.
Kila binadamu ana pande mbili za shilingi inategemea mzani umelemea wapi.
Mane ashukuru tukio halujarekodiwa angekuwa katika wakati mgumu
 
Mechi ikiwa ngumu kwa mchezaji aliye serious hataki kuona makosa ya kijinga Kama alivyo mane
 
Mane ashukuru tukio halujarekodiwa angekuwa katika wakati mgumu
Anapaswa amuombe msamaha tu kwa faida ya future yake huo ndio uungwana ila kukariri kuwa waafrica wanabaguliwa mimi nakataa ni kwamba tunajibagua wenyewe kwa kuwa na akili mgando.
 
Dah nimeumia[emoji3064]
Jamaa ni mtu poa sana na amevumilia mengi.
Naona sasa wanataka kujaribu CV yake kwa nguvu.

Huyo Sane anataka Mane achafuke.
Wamuache kijana wa watu jamani,ana watu wengi nyuma yake wanamtegemea.
Huyo sane mwnyw ni msenegal aliye chukua uraia wa ujerumani.

Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime
 
[emoji599] Bayern have suspended Sadio Mané after his fight with Leroy Sané after Man City game when he punched Sané in his face after having an argument during the match.

Bayern announce that Mané will not be in the squad against Hoffenheim. In addition, the Senegalese will be fined. https://t.co/3ZL3aKbWx5

Je ni bora angebaki Liverpool?
Mbna huwa wanasema Ni ustadhi ,shekh mzuri sna kwamba kila alfajiri huamka na kwenda kufagia misikiti zote mjini munichi[emoji3]
Nini kilimpata musilamu huyu Hadi kumnaza Kofi chezaji mwezake
 
Back
Top Bottom