TANZIA Sadru Ndossi mmiliki wa SABA General ya Kariakoo afariki Dunia

Sababu si kazi yao, kuna miiko na taratibu ya kufikisha taarifa hasa wakati wa majanga. Vinginevyo leo ataibuka mtu atasema Dar yote wana Ebola, hiyo ni kazi ya mamlaka teule
Mrema akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani aliwahi kuzungumzia uchafu wa jiji la Dar kuwa umekithiri na akaingilia kati kulipigia kelele, Mkuu wa Mkoa Mama Chips wakati huo akamwambia asiingilie kazi za watu.

Mrema alifanya vile baada ya kuona mamlaka husika hazitimizi wajibu wao ni bora aingilie kati kunusuru afya za wananchi, suala hilo lilimgharimu Mama Chips akapote kwenye ulimwengu wa siasa.
 
Hiyo ndio sheria, kama huipendi mfikishie mbunge wako akaombe irekebishwe..
 
Yaani hadi kuvaa barakoa uambiwe na serikali au usipande daladala lililojaa haya subiri serikali mkuu au nasema uongo ndugu zanguuuuu
Hivi inawezekana kupanda daladala ambayo haihajaa?
 
Wewe hujielewi. Unazusha vitu kwa faida ya nani. Hao watu waliokufa umewaona? Punguza umbea kaka utasutwa.
Dada wewe ni mbishi watu wanakufa sana ndani ya mwezi wa kwanza na wapili ninao wajua waliokufa zaidi ya 8.
Jana Bibi yetu Baada ya kukosa huduma ya O2 Muhimbili, Aghakani na Regency, Tukampeleka Mloganzila anapoendela kupata matibabu
 

Mdogo wake aitwaye Mohamed pia amefariki leo feb18. Arusha. Pole nyingi kwa wafiwa.
 
Duu, jamani..mbona kila ukiingia Jamiiforums ni "kafariki"
Mpaka kufika tarehe 20.04.2021 tutakuwa na Corona 99% kama mnakumbuka mpaka kufika kipindi icho covid 19 ilikuwa balaaaa sana
 
....Sahihisho: sio 'Mmoja wa Mmiliki'...
Bali ' Mmoja wa Wamiliki'!...
 
Lijamaa inaonekana lilikua na mkwanja wa kutosha
 
Hii taarifa si ya Mwaka Jana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…