Uchaguzi 2020 Saed Ahmed Kubenea: Sijachukua fomu za Kugombea Ubunge CHADEMA Jimbo la Ubungo

Uchaguzi 2020 Saed Ahmed Kubenea: Sijachukua fomu za Kugombea Ubunge CHADEMA Jimbo la Ubungo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kumekucha CHADEMA.

Aliyekuwa mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amesema hajachukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA lakini hiyo haimzuii kugombea ubunge jimbo hilo hilo kupitia chama kingine

Maendeleo hayana vyama

======

Aliyekuwa mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea ameiambia JamiiForums kwamba hajachukua fomu ya kugombea Ubunge sababu hana mkataba unaombana kwamba lazima agombee wala sio lazima yeye kugombea Ubunge.
 
tunamkaribisha kwenye chama lao, mpaka kufikia uchaguzi tutakua tunaongea lugha moja, hawa wahuni wanakupotezea tu mda , pesa zako wamekula hawajengi chama
 
Hakitakua Chama Dola daima
😀😁😅😄😃😃🤣
Tumejipanga
Hatutaki Mambo Ya Kutuchagulia Battery Na Gunzi Ambapo Torch Itashindwa Kuwaka

Mafiga Matatu Haa 🙄😶🤨😑
 
Kumekucha CHADEMA.

Aliyekuwa mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amesema hajachukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA lakini hiyo haimzuii kugombea ubunge jimbo hilo hilo kupitia chama kingine.

Source Eatv

Maendeleo hayana vyama!
Keshasoma alama za nyakati...
SK hajawahi kuwa mpinzani tangu awali...
 
Back
Top Bottom