Uchaguzi 2020 Saed Ahmed Kubenea: Sijachukua fomu za Kugombea Ubunge CHADEMA Jimbo la Ubungo

Uchaguzi 2020 Saed Ahmed Kubenea: Sijachukua fomu za Kugombea Ubunge CHADEMA Jimbo la Ubungo

Kumekucha CHADEMA.

Aliyekuwa mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amesema hajachukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA lakini hiyo haimzuii kugombea ubunge jimbo hilo hilo kupitia chama kingine

Maendeleo hayana vyama

======

Aliyekuwa mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea ameiambia JamiiForums kwamba hajachukua fomu ya kugombea Ubunge sababu hana mkataba unaombana kwamba lazima agombee wala sio lazima yeye kugombea Ubunge.
Huyu na yule wa iringa sina imani nao sana pale chadema
 
Huyu alipwaya sanaaa. Bora hakuchukua form maana most likely aibu yake ingeanzia ndani ya chama chake mwenyewe. Kuna kata na mitaa ya Ubungo hajawahi kabisa kutembelea hata ile ya kinafiki tu
 
Back
Top Bottom