Uchaguzi 2020 Saed Ahmed Kubenea: Sijachukua fomu za Kugombea Ubunge CHADEMA Jimbo la Ubungo

Ndio zenu, mtu akishaamua kuondoka mnasema hakuna anayemtaka, ila akiendelea kuwepo hamumfukuzi, kma hakuna anayemtaka kwanini msimfukuze kabla hajaondoka/hajahama mwenyewe?
Hamna hata anayemtaka huko cdm, hivyo yeye ni kuvuja kwa pakacha.
 
Ndio zenu, mtu akishaamua kuondoka mnasema hakuna anayemtaka, ila akiendelea kuwepo hamumfukuzi, kma hakuna anayemtaka kwanini msimfukuze kabla hajaondoka/hajahama mwenyewe?

Hata alipokuwa nani alikuwa anamfagilia? Ulitaka afukuzwe ili itumike propaganda kwamba kaonewa?
 
Mkiona mtu hamumtaki/hawasaidii mtumueni, sio akishaamua kuondoka/kuhaman chama mnaanza kusema ooh, hatumtaki, Alikua hana faida na maneno mengine kibao
Hata alipokuwa nani alikuwa anamfagilia? Ulitaka afukuzwe ili itumike propaganda kwamba kaonewa?
 
Kubenea mpaka sasa hivi amechunga heshima yake vizuri na akikomaa hivyohivyo atakuwa uzito mkubwa sana 25 kwa chama chake ukweli halisi jimbo hilo ccm lazima walichukue kwa nguvu jua kabisa uende popote hawatakutangaza chutama ujisitiri
 
Mkiona mtu hamumtaki/hawasaidii mtumueni, sio akishaamua kuondoka/kuhaman chama mnaanza kusema ooh, hatumtaki, Alikua hana faida na maneno mengine kibao

Atimuliwe apate kick?
 
Anataka aunge juhudi ili makaratasi yake
ya mwanahalisi yafunguliwe.
 
Mamluki wanajitambua hawawezi kuchomoza bora umejiondoa
 
Wewe Kenge huwezi kujuwa bali viongozi wako wakuu Lumbumba wanajuwa hilo[emoji12][emoji12]
 
Akihama tu Chadema tutajua Ben Saa nane alipo.
 
Njia pekee ya kuirudisha chadema katika misingi yake ni mbowe kuachia madaraka
 
Hata akija kwa chama tawala hafai kuwa mbunge wa jimbo la ubungo kwa sababu miaka 5 iliyopita hakufanya chochote kile

Mifano mzuri njoo kwenye barabara za mitaa huku Mavurunza kama Kwakichwa Millenium 3

Barabara hazijulikani ni kiangazi au masika khaa!
 
Kama mtu niliekaa Ubungo karibia kipindi chake chote, huyo jamaa hafai kabisa, iwe kwa chama chochote kile, huyo ni mlaji kama walaji wengine, ni upuuzi watu wa ubungo kumchagua tena
 
Kubenea na skendo zake na Komu kuvuja wakipanga mipango ya kumdhuru Mwenyekiti Mbowe na Boniface unadhani anajisikiaje,ashajishtukia kwamba chama hakitampitisha
hana lolote huyo apo kamkimbia meya Jacob! kimtindo
 
Kama mtu niliekaa Ubungo karibia kipindi chake chote, huyo jamaa hafai kabisa, iwe kwa chama chochote kile, huyo ni mlaji kama walaji wengine, ni upuuzi watu wa ubungo kumchagua tena
Baada ya kuwachana na diyo mnabaini kuwa hafai!!

Ama kweli ili mazuri yako yasemwe lazima uww umekufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…