Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Magufuli chsli yaani mchezo wao wa kipumbavu kabisa yote hiyo Kitila Mkumbo apite bila kupingwa
 
Transaction na movement kati ya Kenya na Tanzania ziko highly monitored, wakuu wanadhani Uhuruto wanaweza kusaidia kampeni za TAL, though kama wangeamua kusaidia wangefanya hivyo months before kampeni.

Kitendo cha Kenya kusaidia matibabu ya TAL bado kimeacha maswali Tz
 
Inawezekana pia mkuu.
Maana wanasiasa sio watu wa kuwaamini.
Tusijump into conclusion bado mapema sana sasa hv,usikute ni deal wamecheza na wahusika wametengeneza scandal ya money laundering kalipwa chake ili asiendelee kugombea Ubunge.

Nikimfikiria Joshua Nasari huwa haya matukio siyaamini kivile.
 
Hoja yako ni kuwa vipi utamkamata mtanzania ndani ya tanzania kwa kosa la kuingia kinyume na utaratibu. Mimi simzungumzii mtu, mimi nazungumzia suala la kuingia nchini kinyume na utaratibu uliowekwa. Sasa wewe uje utetee kwanini sio sawa kumkamata mtu aliengia kinyume na utaratibu na sio porojo.
 
Sasa mbona Magafuli ni rafiki mkubwa wa Odinga na wala kina Kenyatta hawana mpango naye?

Usishangae kampeni hizi kabla ya kumalizika Odinga atapanda jukwaa la ccm kumnadi Magufuli, hawana aibu hawa.
 
Hizo lazima zitakuwa pesa za kampeni. Swali je; Nani huko Kenya anataka Kubenea awe mbunge na kwa manufaa gani? AU katumwa na nani?
Pesa za mabeberu?....πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Uzuri kabla thread haijafika mbali watu wenye akili tumeshajuwa kisa ni nini, hayo mengine ni porojo tu.
 
Atakuwa alienda kutafuta pesa za kufanyia kampeni, huu mchoro inawezekana atakuwa amechomwa na mtu wake wa karibu, kosa limefanywa kuwa kubwa kwasababu ya nafasi yake aliyokuwa nayo kisiasa, hapo hakuna dhamana na ndoto za ubunge ndio zimekwisha.
...πŸ€”πŸ€”πŸ€”...kama ameuzwa kweli basi amemalizwa kisiasa.
 
Sirari boarder wananchi wa pande zote huwa wanaingia tu,sijui siku hizi.
 
Nakumbuka wenzake wakina mbowe walivyokuwa wanashinda pale kisutu jamaa hajawahi enda kabisa.
 
Magufuli chsli yaani mchezo wao wa kipumbavu kabisa yote hiyo Kitila Mkumbo apite bila kupingwa
Bwashee mbona unachanganya mada, kwani Magufuli ndiyo alimtuma Kubenea huko Kenya, mgombea wenu si anajinasibu kwamba amechanganya damu na wakenya, sasa mnaanza kuwakana wakenya, jinga kabisa
 
Documents alizokutwa nazo zinaongea hayo yote acha kubenea alinywe, Magufuli lazima 5 more ili awanyooshe wavivu kama hawa waliozoea njia za panya kujinufaisha, safari hii lazime mlie kwa sauti ya meeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…