mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Ni kama sasa hivi ambavyo MATAGA reference yao ni magazeti ya MUSIBA.Miaka hiyo ilikuwa haiwezekani Gazeti lake litoke bila ya kumtukana Kikwete, Mkapa au Zitto
Ukibishana na BAvicha reference yao ilikuwa Kubenea