HIBISCUS 80
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 1,058
- 1,218
Hivi kweli hata kusoma tu ukaelewa habari NI ngumu hivi? Hujasoma kwamba amekwenda Kenya bila kupitia mpakani rasmi inamaana amepita njia za chochoroni au hujawahi kusafiru kutoka nchi Moja kwenda nchi nyingine na ukajua taratibu za kuvuka mpaka wannchi Moja kwenda nchi nyingine?Hapa ndipo ninapokuona wewe ni wakili kanjanja, inawezekana vipi umkamate raia wa Tanzania ndani ya Tanzania na halafu umshtaki kwa kuingia Tanzania isivyo rasmi? Are you mad?
Hivi huko CCM huwa mnavutishwa bangi gani ya kuwatowa akili?
Gado NI mchora katuni na anawasilisha mawazo yake kupitia katuni zake kimataifa Sasa akichora kuhusu Tz ndio uumie jamani?"Ukweli" kama huu unawahusu nini wakenya? na kwanini kila siku ni Gado na Tanzania?
View attachment 1561746
muhimu ni information tuKama Wahusika wameamua kuwa na Umakini huu basi usiwe unaishia tu kwa Wanasiasa tena wa Upinzani kwani unafanywa na wengine wengi tu.
muhimu ni information tu
huyo kachomwa,inawezekana hata hiyo pesa na hao waliomwita ni wakala wa JMT walimtaka tu mtu wao
Kwanini nikae kimya mkuu wakati nashangaa kwanini watanzania wawe charged kwa viwango kama hivyo vya pesa? There's must be something else out of money loundering.Kaa kimya, kina Tito Magoti wanaozea sello kwa kutakatisha laki saba tu!
Man,Hili ndilo swali nililokuwa najiuliza. Hapo polisi walipaswa wajiridhishe tu kama huko Kenya alienda kihalali kwa kukagua passport yake bass. Ila kwa upande wa uvushaji pesa hapo jamaa wamepata sababu though ni kiwango cha kawaida sana kusema ni ishu ya money loundering
YOU'RE RIGHT... Waswahili wanasema "tunajenga nyumba moja, yanini kugombea fito"! Tena watu wasisahau Kubenea alichangia kwa kiasi kikubwa sana kuibomoa serikali ya CCM ya JK!Pamoja na kuwa alijitoa CHADEMA na kujiunga ACT-Wazalendo, hii isiwe sababu ya sisi wa upande wa upinzani kufurahia yaliyomkuta kwani safari ya kuelekea Oktoba 28 bado inaendelea...
Kwani uhamiaji tunapita ili iweje?Ulitaka amwambie nani?
Like serious?! Yaani tiketi, MoU na risiti ndio ushahidi wa kuthibitisha aliingia na kutoka Kenya bila kufuata sheria?!Wakati mwingine mnajitoa ufahamu. Mtuhumiwa ameingia na kutoka nchini Kenya bila taarifa zake kuwapo mpakani. Ushahidi ni risiti ya Hotel aliyolala Nairobi, Memorandum of Understanding iliyosainiwa Nairobi na tiketi ya basi alilopanda toka Nairobi kwenda Namanga, unashangaa nini? maana yake Usafiri wake wa kwenda na kurudi ulikuwa ni wakuishia Namanga na kisha kuvuka kutumia njia za Panya, njia haramu.
Na hata alivyoondoka CHADEMA, hakukashifu viongozi wa CHADEMA bali aliondoka kiistaarabu.YOU'RE RIGHT... Waswahili wanasema "tunajenga nyumba moja, yanini kugombea fito"! Tena watu wasisahau Kubenea alichangia kwa kiasi kikubwa sana kuibomoa serikali ya CCM ya JK!
Kwamba hamjui kama mlimtuma enh!!!???Pamoja na kuwa alijitoa CHADEMA na kujiunga ACT-Wazalendo, hii isiwe sababu ya sisi wa upande wa upinzani kufurahia yaliyomkuta kwani safari ya kuelekea Oktoba 28 bado inaendelea.
La msingi kuliko yote ni kuwa,tusimuhumu ili hali hatujasikia chochote kutoka Kwake na tusiwe kama ni wageni katika nchi hii.
Subirini kuona hiyo kesi itavyoendeshwaa na zaidi hatima ya kesi yenyewe.
Tujipe muda
Anayekamatwa ndio mwiziKama Wahusika wameamua kuwa na Umakini huu basi usiwe unaishia tu kwa Wanasiasa tena wa Upinzani kwani unafanywa na wengine wengi tu.
Utaelewa tuKubenea kapokea kiinua mgongo zaidi ya TZS 200 million, kufanya money laundering ya TZS 28 million haijaeleweka
Hivi lisu yeye pess zake za kampeni analetewa na nani kutoka kule kwa Amsterdam maan nasikia hadi anakodisha ndegeAtakuwa alienda kutafuta pesa za kufanyia kampeni, huu mchoro inawezekana atakuwa amechomwa na mtu wake wa karibu, kosa limefanywa kuwa kubwa kwasababu ya nafasi yake aliyokuwa nayo kisiasa, hapo hakuna dhamana na ndoto za ubunge ndio zimekwisha.
Kwanini unaamini risiti ni proof kuwa alikuwa Nairobi?Wakati mwingine mnajitoa ufahamu. Mtuhumiwa ameingia na kutoka nchini Kenya bila taarifa zake kuwapo mpakani. Ushahidi ni risiti ya Hotel aliyolala Nairobi, Memorandum of Understanding iliyosainiwa Nairobi na tiketi ya basi alilopanda toka Nairobi kwenda Namanga, unashangaa nini? maana yake Usafiri wake wa kwenda na kurudi ulikuwa ni wakuishia Namanga na kisha kuvuka kutumia njia za Panya, njia haramu.
GADO ni mtanzania. Political cartoonist yoyote hufanya kazi kutokana na matukio wanayofanya wanasiasa. Ukiona unachorwa sana ujuwe una walakini."Ukweli" kama huu unawahusu nini wakenya? na kwanini kila siku ni Gado na Tanzania?
View attachment 1561746
Do nyie watu bana kila Siku nfonjera zile zile ..mada ilyopo mezani ni kubenea kukamatwa na tsh 28m akitokea Kenya..å Sometimes sisi wanadamu ni ngumu sana kuacha mazoea yetu hasa ya kuumiza na kubagaza watu wengine....
å Aidha ukiangalia namna mambo yalivyo kwa jicho la kibinadamu, kwa mazoea ya kibinadamu na kwa kusikia kwa sikio la kibinadamu, ni ngumu sana mtu kuamini kuwa mambo yanaweza kubadilika kwa kufumba na kufumbua tu macho...
å Tundu Lissu wiki tatu au nne zilizopita alilisema juu ya hali ya utawala huu chini ya CCM ya Magufuli, kwamba kupitia sanduku la kura kamwe hawawezi kushinda hapo Oktoba 28, 2020....!!
å Alionya kuwa, wao CCM na MAGUFULI wanalijua na kulitambua hili vilivyo, lakini wana advantage moja tu.....wanaongoza serikali na wanaweza kutumia faida hii kujipatia ushindi wa mezani kirahisi kabisa ktk uchaguzi ili kuendeleza mateso ya wananchi....
å Aliendelea kusema, njia rahisi na ya kipekee ni kufanya "systematic pull out" ya wagombea wa vyama vingine kwa njia za kisheria na uhuni mwingine wowote unaowezekana. Naona watu kama Saed Ahmed Kubenea hawakumwelewa Tundu Lissu na sasa yanawatokea...
å Tazama na sikiliza tahadhari ya TL ktk video hii [emoji116] [emoji116][emoji116]
View attachment 1561499