Ha ha [emoji23]Uwezi fuatiliwa wewe mkulima unayekwenda kuuza bidhaa zako sheria hii ni kwa watanzania wote ila inakuwa Kali sana kwa wale watu wanaohusishwa na kuihujumu serikali nje ya nchi,wewe si unafuataga wanawake Zambia utaambulia magonjwa tu.
Ametoka na kuingia bila kufuata taratibu ila kwenye sheria imeandikwa hivyo kwa sababu ni lugha ya kisheria kuwa unaweza kuwa mtanzania lakini ukiwa unaingia kutokea ulikokuwa.Mtanzania ameingia Tanzania sio kihalali? Sijaelewa
Mimi "siteteangi" wasaliti lakini dola 8,000 bado haijafikia kiwango cha ku declare. Huu ni utopolo. Mpaka ifike 10,000 dolla.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH: KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA SAED AHMED KUBENEA
Mnamo tarehe 5/9/2020, Jeshi la Polisi Tanzania lilimkamata SAED AHMED KUBENEA akiwa katika gari la abiria lenye namba ya usajili T. 645 DKR akitokea kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya, eneo la Namanga akielekea Arusha mjini.
Mara baada ya upekuzi, mtuhumiwa huyo alikutwa, pamoja na vitu vingine, Dola za Marekani Elfu Nane (USD 8000), Shilingi za Kenya Laki Nne Tisini na Moja Elfu Mia Saba (KES 491,700), Shilingi za Kitanzania Elfu Sabini na Moja (TZS 71,000/-), tiketi ya basi la Super Couch lenye namba ya usajili KCP 4230 ya tarehe 05/09/2020 kutoka Nairobi, Kenya kwenda Namanga, ‘Memorandum of Understanding’ kati ya Hali-Halisi (Tanzania) na Buni Media Limited (Kenya), Risiti ya malipo ya hoteli iitwayo After 40 Hotels Limited iliyopo Nairobi, Kenya yenye jina la Kubenea, Saed Ahmed kama mgeni kuanzia tarehe 3/9/2020 hadi 5/9/2020 na. Pasi yake ya kusafiria (Passport).
Mara baada ya kukamatwa, mtuhumiwa alieleza kuwa alifika mkoani Arusha tarehe 2/9/2020 akitokea Dar es Salaam na kufikia katika hoteli iliyopo Arusha mjini. Alieleza zaidi kuwa, tarehe 3/9/2020, alienda kulala kwa Kaka yake tarehe 3/9/2020, na tarehe 4/9/2020 alienda Namanga na kupokea fedha taslimu tajwa hapo juu kutoka kwa raia wa Kenya.
Hata hivyo, mara baada ya kupitia Ushahidi uliokusanywa nimebaini kuwa:-
1. Mtuhumiwa SAED AHMED KUBENEA hakufikia katika hoteli aliyoitaja Arusha mjini, wala kulala kwa Kaka yake kama alivyoeleza.
2. Mtuhumiwa tajwa alivuka Mpaka usio rasmi na kuelekea Nairobi nchini Kenya na kisha kurejea nchini Tanzania bila kutumia Mpaka rasmi mnamo tarehe 5/9/2020.
3. Mtuhumiwa tajwa aliingiza nchini Fedha za Kigeni (foreign currency) bila kutoa tamko rasmi la kisheria kinyume na masharti ya Kanuni za the Anti-Money Laundering (Cross - Border Declaration of Currency and Bearer Negotiable Instruments) Regulations, 2016 zikisomwa pamoja na Kifungu cha 28B(1)(a) cha Sheria ya Kuzuia Utakasishaji wa Fedha Haramu, Na. 12 ya Mwaka 2006.
Hivyo, leo tarehe 7/9/2020, mara baada ya kujiridhisha na uwepo wa ushahidi wa kutosha dhidi ya mtuhumiwa tajwa, sambamba na misingi ya kikatiba inayoniongoza kama ilivyoanishwa katika Ibara ya 59B(4)(a) hadi (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, nimeidhinisha mashtaka yafuatayo dhidi ya mtuhumiwa SAED AHMED KUBENEA:-
a. Kuingia nchini Tanzania kinyume na Sheria ya Uhamiaji, Sura ya 54 Marejeo ya mwaka 2016; na
b. Kuingiza nchini fedha za Kigeni bila kutoa tamko kinyume na Kanuni za Utoaji Tamko la Fedha Mpakani za mwaka 2016.
View attachment 1561443
View attachment 1561444
Nikiwa nyumbani huko vijijini kasulu,mara moja moja huwa tunaeda zetu burundi kula bia na kurudi makwetu kawaida kabisa!Yaani hayo ndio maisha ya kawaida kwa watu wa mpakani!Kama Wahusika wameamua kuwa na Umakini huu basi usiwe unaishia tu kwa Wanasiasa tena wa Upinzani kwani unafanywa na wengine wengi tu.
Hiyo stakabadhi ya Hotel aliyofikia Kenya hujaona kwenye maelezo boss, au unasoma juu juu tu?Mahakama inahitaji ushahidi wa Kubenea kwenda Kenya na kurudi kwa njia ya panya na si vinginevyo.
Kesi ya Zombe Jaji aliwaambia upande wa mashtaka wakawatafute wauwaji wawalete mahakamani, Zombe hakuuwa mtu lakini alishtakiwa kwa kesi ya mauwaji.
Wengi humu bado hamuelewi kwa nini watu wengi hawafungwi mahakamani bado hamjajuwa mahakama hasa huwa inahitaji nini ili kumfunga mtu.
Kumbe hajatenda kosa bali kwakuwa alikuwa CDM!Angekuwa kada asikngekutwa na hayo!!!!!Chadema wamemponza kubenea
Kubenea katumika sana akiwa na hazeti lakeWacha aisome namba mpuuzi Sana huyu jamaa
Ametumika vya kutosha kipindi Cha utawala wa Kikwete na Mkapa kuchafua watu na kueneza propaganda.

Watanzania tuwe Macho na Mimi nakuwa Machoo. Nasikia wamepewa MaTrion na Mabeberu ili Waturudishe utumwani wakati tumeanza kuingia mpaka wa Kanani kwenye Mikate na Asali.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH: KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA SAED AHMED KUBENEA
Mnamo tarehe 5/9/2020, Jeshi la Polisi Tanzania lilimkamata SAED AHMED KUBENEA akiwa katika gari la abiria lenye namba ya usajili T. 645 DKR akitokea kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya, eneo la Namanga akielekea Arusha mjini.
Mara baada ya upekuzi, mtuhumiwa huyo alikutwa, pamoja na vitu vingine, Dola za Marekani Elfu Nane (USD 8000), Shilingi za Kenya Laki Nne Tisini na Moja Elfu Mia Saba (KES 491,700), Shilingi za Kitanzania Elfu Sabini na Moja (TZS 71,000/-), tiketi ya basi la Super Couch lenye namba ya usajili KCP 4230 ya tarehe 05/09/2020 kutoka Nairobi, Kenya kwenda Namanga, ‘Memorandum of Understanding’ kati ya Hali-Halisi (Tanzania) na Buni Media Limited (Kenya), Risiti ya malipo ya hoteli iitwayo After 40 Hotels Limited iliyopo Nairobi, Kenya yenye jina la Kubenea, Saed Ahmed kama mgeni kuanzia tarehe 3/9/2020 hadi 5/9/2020 na. Pasi yake ya kusafiria (Passport).
Mara baada ya kukamatwa, mtuhumiwa alieleza kuwa alifika mkoani Arusha tarehe 2/9/2020 akitokea Dar es Salaam na kufikia katika hoteli iliyopo Arusha mjini. Alieleza zaidi kuwa, tarehe 3/9/2020, alienda kulala kwa Kaka yake tarehe 3/9/2020, na tarehe 4/9/2020 alienda Namanga na kupokea fedha taslimu tajwa hapo juu kutoka kwa raia wa Kenya.
Hata hivyo, mara baada ya kupitia Ushahidi uliokusanywa nimebaini kuwa:-
1. Mtuhumiwa SAED AHMED KUBENEA hakufikia katika hoteli aliyoitaja Arusha mjini, wala kulala kwa Kaka yake kama alivyoeleza.
2. Mtuhumiwa tajwa alivuka Mpaka usio rasmi na kuelekea Nairobi nchini Kenya na kisha kurejea nchini Tanzania bila kutumia Mpaka rasmi mnamo tarehe 5/9/2020.
3. Mtuhumiwa tajwa aliingiza nchini Fedha za Kigeni (foreign currency) bila kutoa tamko rasmi la kisheria kinyume na masharti ya Kanuni za the Anti-Money Laundering (Cross - Border Declaration of Currency and Bearer Negotiable Instruments) Regulations, 2016 zikisomwa pamoja na Kifungu cha 28B(1)(a) cha Sheria ya Kuzuia Utakasishaji wa Fedha Haramu, Na. 12 ya Mwaka 2006.
Hivyo, leo tarehe 7/9/2020, mara baada ya kujiridhisha na uwepo wa ushahidi wa kutosha dhidi ya mtuhumiwa tajwa, sambamba na misingi ya kikatiba inayoniongoza kama ilivyoanishwa katika Ibara ya 59B(4)(a) hadi (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, nimeidhinisha mashtaka yafuatayo dhidi ya mtuhumiwa SAED AHMED KUBENEA:-
a. Kuingia nchini Tanzania kinyume na Sheria ya Uhamiaji, Sura ya 54 Marejeo ya mwaka 2016; na
b. Kuingiza nchini fedha za Kigeni bila kutoa tamko kinyume na Kanuni za Utoaji Tamko la Fedha Mpakani za mwaka 2016.
View attachment 1561443
View attachment 1561444
Buni Media angalia bodi ya wakurugenzi wa hiyo kampuni ambayo Kubenea alikamatwa na "mkataba wa makubaliano" nao! Mkurugenzi wake kila kukicha ni kuishambulia serikali yetu na viongozi wake!Nikiwa nyumbani huko vijijini kasulu,mara moja moja huwa tunaeda zetu burundi kula bia na kurudi makwetu kawaida kabisa!Yaani hayo ndio maisha ya kawaida kwa watu wa mpakani!
Watanzania tuwe Macho na Mimi nakuwa Machoo. Nasikia wamepewa MaTrion na Mabeberu ili Waturudishe utumwani wakati tumeanza kuingia mpaka wa Kanani kwenye Mikate na Asali.
Lifungwe tu miaka 20 paaaaa
hahaha kampuni ya kuuza "zana za kivita"Kwahiyo unataka kutuambia muwakilishi wa kampuni ya Kenya hawezi kuja Namanga na wakasaini MoU na yule Mkenya kuvuka boda kurudi kwao?
Why Kubenea tu na siyo kwamba Mkenya alikuja yeye Namanga?
Kumbe interest yao ni mambo mengine !Buni Media angalia bodi ya wakurugenzi wa hiyo kampuni ambayo Kubenea alikamatwa na "mkataba wa makubaliano" nao! Mkurugenzi wake kila kukicha ni kuishambulia serikali yetu na viongozi wake!
Kwani amount ya pesa inayotakiwa kuwa declared ukiwa unaingia nchini ni kiasi gani?(KES 491,700 X 23) + (USD 8000 x 2314) = TZS 28,411,327.80.
Anavunja Sheria kwa koti la Upinzani ,
Akilalamika eti wananyanyaswa.
Sasa kisa cha kutumia njia za panya kuingia Kenya na kutoka nini,
Isijekuwa anafanya Mambo ya Ugaidi hapa.
Usanii mtupu kwani kla mhalifuhuwa anatuandikia magazeti?,TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI