Saed Kubenea atiwa mbaroni. Afikishwa Mahakamani kwa kuingia nchini kinyume na Sheria, utakatishaji fedha na kupelekwa rumande

Uwezi fuatiliwa wewe mkulima unayekwenda kuuza bidhaa zako sheria hii ni kwa watanzania wote ila inakuwa Kali sana kwa wale watu wanaohusishwa na kuihujumu serikali nje ya nchi,wewe si unafuataga wanawake Zambia utaambulia magonjwa tu.
Ha ha [emoji23]
 
Mtanzania ameingia Tanzania sio kihalali? Sijaelewa
Ametoka na kuingia bila kufuata taratibu ila kwenye sheria imeandikwa hivyo kwa sababu ni lugha ya kisheria kuwa unaweza kuwa mtanzania lakini ukiwa unaingia kutokea ulikokuwa.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

YAH: KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA SAED AHMED KUBENEA

Mnamo tarehe 5/9/2020, Jeshi la Polisi Tanzania lilimkamata SAED AHMED KUBENEA akiwa katika gari la abiria lenye namba ya usajili T. 645 DKR akitokea kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya, eneo la Namanga akielekea Arusha mjini.

Mara baada ya upekuzi, mtuhumiwa huyo alikutwa, pamoja na vitu vingine, Dola za Marekani Elfu Nane (USD 8000), Shilingi za Kenya Laki Nne Tisini na Moja Elfu Mia Saba (KES 491,700), Shilingi za Kitanzania Elfu Sabini na Moja (TZS 71,000/-), tiketi ya basi la Super Couch lenye namba ya usajili KCP 4230 ya tarehe 05/09/2020 kutoka Nairobi, Kenya kwenda Namanga, ‘Memorandum of Understanding’ kati ya Hali-Halisi (Tanzania) na Buni Media Limited (Kenya), Risiti ya malipo ya hoteli iitwayo After 40 Hotels Limited iliyopo Nairobi, Kenya yenye jina la Kubenea, Saed Ahmed kama mgeni kuanzia tarehe 3/9/2020 hadi 5/9/2020 na. Pasi yake ya kusafiria (Passport).

Mara baada ya kukamatwa, mtuhumiwa alieleza kuwa alifika mkoani Arusha tarehe 2/9/2020 akitokea Dar es Salaam na kufikia katika hoteli iliyopo Arusha mjini. Alieleza zaidi kuwa, tarehe 3/9/2020, alienda kulala kwa Kaka yake tarehe 3/9/2020, na tarehe 4/9/2020 alienda Namanga na kupokea fedha taslimu tajwa hapo juu kutoka kwa raia wa Kenya.
Hata hivyo, mara baada ya kupitia Ushahidi uliokusanywa nimebaini kuwa:-

1. Mtuhumiwa SAED AHMED KUBENEA hakufikia katika hoteli aliyoitaja Arusha mjini, wala kulala kwa Kaka yake kama alivyoeleza.

2. Mtuhumiwa tajwa alivuka Mpaka usio rasmi na kuelekea Nairobi nchini Kenya na kisha kurejea nchini Tanzania bila kutumia Mpaka rasmi mnamo tarehe 5/9/2020.

3. Mtuhumiwa tajwa aliingiza nchini Fedha za Kigeni (foreign currency) bila kutoa tamko rasmi la kisheria kinyume na masharti ya Kanuni za the Anti-Money Laundering (Cross - Border Declaration of Currency and Bearer Negotiable Instruments) Regulations, 2016 zikisomwa pamoja na Kifungu cha 28B(1)(a) cha Sheria ya Kuzuia Utakasishaji wa Fedha Haramu, Na. 12 ya Mwaka 2006.

Hivyo, leo tarehe 7/9/2020, mara baada ya kujiridhisha na uwepo wa ushahidi wa kutosha dhidi ya mtuhumiwa tajwa, sambamba na misingi ya kikatiba inayoniongoza kama ilivyoanishwa katika Ibara ya 59B(4)(a) hadi (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, nimeidhinisha mashtaka yafuatayo dhidi ya mtuhumiwa SAED AHMED KUBENEA:-

a. Kuingia nchini Tanzania kinyume na Sheria ya Uhamiaji, Sura ya 54 Marejeo ya mwaka 2016; na
b. Kuingiza nchini fedha za Kigeni bila kutoa tamko kinyume na Kanuni za Utoaji Tamko la Fedha Mpakani za mwaka 2016.

View attachment 1561443
View attachment 1561444
Mimi "siteteangi" wasaliti lakini dola 8,000 bado haijafikia kiwango cha ku declare. Huu ni utopolo. Mpaka ifike 10,000 dolla.
Sema dots "zingi" sana zimeunganishwa ndio tatizo lkn kuna kosa kama hili ni la kupangua tu.
Sasa ingekua kila anaepita immigration atangaze ana shs ngap na kazipata wapi si ingekua nongwa.
 
Wote waliomchafua Lowassa watalipa kwa machozi na masikitiko. Tena ndo hao hao wamesababisha Magu akawa Rais.
 
Kama Wahusika wameamua kuwa na Umakini huu basi usiwe unaishia tu kwa Wanasiasa tena wa Upinzani kwani unafanywa na wengine wengi tu.
Nikiwa nyumbani huko vijijini kasulu,mara moja moja huwa tunaeda zetu burundi kula bia na kurudi makwetu kawaida kabisa!Yaani hayo ndio maisha ya kawaida kwa watu wa mpakani!
 
Mahakama inahitaji ushahidi wa Kubenea kwenda Kenya na kurudi kwa njia ya panya na si vinginevyo.

Kesi ya Zombe Jaji aliwaambia upande wa mashtaka wakawatafute wauwaji wawalete mahakamani, Zombe hakuuwa mtu lakini alishtakiwa kwa kesi ya mauwaji.

Wengi humu bado hamuelewi kwa nini watu wengi hawafungwi mahakamani bado hamjajuwa mahakama hasa huwa inahitaji nini ili kumfunga mtu.
Hiyo stakabadhi ya Hotel aliyofikia Kenya hujaona kwenye maelezo boss, au unasoma juu juu tu?
 
Katuni (vibonzo) za kuidhalilisha Serikali na rais wetu kutoka kwa Godfrey Mwampembwa maarufu kama Gado, DW , Buni Media, Said Kubenea, nk sasa tumepata pa kuanzia! Hongera sana TISS, hongera sana vyombo vya ulinzi na usalama!

Buni Media
Untitled.jpg
 
Wacha aisome namba mpuuzi Sana huyu jamaa

Ametumika vya kutosha kipindi Cha utawala wa Kikwete na Mkapa kuchafua watu na kueneza propaganda.
Kubenea katumika sana akiwa na hazeti lake
 
Wacha aisome namba mpuuzi Sana huyu jamaa

Ametumika vya kutosha kipindi Cha utawala wa Kikwete na Mkapa kuchafua watu na kueneza propaganda.
Kubenea katumika sana akiwa na hazeti lake
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

YAH: KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA SAED AHMED KUBENEA

Mnamo tarehe 5/9/2020, Jeshi la Polisi Tanzania lilimkamata SAED AHMED KUBENEA akiwa katika gari la abiria lenye namba ya usajili T. 645 DKR akitokea kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya, eneo la Namanga akielekea Arusha mjini.

Mara baada ya upekuzi, mtuhumiwa huyo alikutwa, pamoja na vitu vingine, Dola za Marekani Elfu Nane (USD 8000), Shilingi za Kenya Laki Nne Tisini na Moja Elfu Mia Saba (KES 491,700), Shilingi za Kitanzania Elfu Sabini na Moja (TZS 71,000/-), tiketi ya basi la Super Couch lenye namba ya usajili KCP 4230 ya tarehe 05/09/2020 kutoka Nairobi, Kenya kwenda Namanga, ‘Memorandum of Understanding’ kati ya Hali-Halisi (Tanzania) na Buni Media Limited (Kenya), Risiti ya malipo ya hoteli iitwayo After 40 Hotels Limited iliyopo Nairobi, Kenya yenye jina la Kubenea, Saed Ahmed kama mgeni kuanzia tarehe 3/9/2020 hadi 5/9/2020 na. Pasi yake ya kusafiria (Passport).

Mara baada ya kukamatwa, mtuhumiwa alieleza kuwa alifika mkoani Arusha tarehe 2/9/2020 akitokea Dar es Salaam na kufikia katika hoteli iliyopo Arusha mjini. Alieleza zaidi kuwa, tarehe 3/9/2020, alienda kulala kwa Kaka yake tarehe 3/9/2020, na tarehe 4/9/2020 alienda Namanga na kupokea fedha taslimu tajwa hapo juu kutoka kwa raia wa Kenya.
Hata hivyo, mara baada ya kupitia Ushahidi uliokusanywa nimebaini kuwa:-

1. Mtuhumiwa SAED AHMED KUBENEA hakufikia katika hoteli aliyoitaja Arusha mjini, wala kulala kwa Kaka yake kama alivyoeleza.

2. Mtuhumiwa tajwa alivuka Mpaka usio rasmi na kuelekea Nairobi nchini Kenya na kisha kurejea nchini Tanzania bila kutumia Mpaka rasmi mnamo tarehe 5/9/2020.

3. Mtuhumiwa tajwa aliingiza nchini Fedha za Kigeni (foreign currency) bila kutoa tamko rasmi la kisheria kinyume na masharti ya Kanuni za the Anti-Money Laundering (Cross - Border Declaration of Currency and Bearer Negotiable Instruments) Regulations, 2016 zikisomwa pamoja na Kifungu cha 28B(1)(a) cha Sheria ya Kuzuia Utakasishaji wa Fedha Haramu, Na. 12 ya Mwaka 2006.

Hivyo, leo tarehe 7/9/2020, mara baada ya kujiridhisha na uwepo wa ushahidi wa kutosha dhidi ya mtuhumiwa tajwa, sambamba na misingi ya kikatiba inayoniongoza kama ilivyoanishwa katika Ibara ya 59B(4)(a) hadi (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, nimeidhinisha mashtaka yafuatayo dhidi ya mtuhumiwa SAED AHMED KUBENEA:-

a. Kuingia nchini Tanzania kinyume na Sheria ya Uhamiaji, Sura ya 54 Marejeo ya mwaka 2016; na
b. Kuingiza nchini fedha za Kigeni bila kutoa tamko kinyume na Kanuni za Utoaji Tamko la Fedha Mpakani za mwaka 2016.

View attachment 1561443
View attachment 1561444
Watanzania tuwe Macho na Mimi nakuwa Machoo. Nasikia wamepewa MaTrion na Mabeberu ili Waturudishe utumwani wakati tumeanza kuingia mpaka wa Kanani kwenye Mikate na Asali.
Lifungwe tu miaka 20 paaaaa
 
Nikiwa nyumbani huko vijijini kasulu,mara moja moja huwa tunaeda zetu burundi kula bia na kurudi makwetu kawaida kabisa!Yaani hayo ndio maisha ya kawaida kwa watu wa mpakani!
Buni Media angalia bodi ya wakurugenzi wa hiyo kampuni ambayo Kubenea alikamatwa na "mkataba wa makubaliano" nao! Mkurugenzi wake kila kukicha ni kuishambulia serikali yetu na viongozi wake!
 
Watanzania tuwe Macho na Mimi nakuwa Machoo. Nasikia wamepewa MaTrion na Mabeberu ili Waturudishe utumwani wakati tumeanza kuingia mpaka wa Kanani kwenye Mikate na Asali.
Lifungwe tu miaka 20 paaaaa

Ajabu ni kwamba kuna binadamu wanaonasa kwenye propaganda uchuro kama hizi, kweli wapiga kura wengi ni wajinga mno... sishangai bwana yule uchwara kuapishwa.
 
Kwahiyo unataka kutuambia muwakilishi wa kampuni ya Kenya hawezi kuja Namanga na wakasaini MoU na yule Mkenya kuvuka boda kurudi kwao?

Why Kubenea tu na siyo kwamba Mkenya alikuja yeye Namanga?
hahaha kampuni ya kuuza "zana za kivita"
Untitled.jpg
 
Buni Media angalia bodi ya wakurugenzi wa hiyo kampuni ambayo Kubenea alikamatwa na "mkataba wa makubaliano" nao! Mkurugenzi wake kila kukicha ni kuishambulia serikali yetu na viongozi wake!
Kumbe interest yao ni mambo mengine !
Mimi nilikuwa nasema hilo la kutoka kwenda nchi jirani na kurudi!Huku kwetu ni maisha ya kawaida kabisa na tunaenda kama tunavyoenda chooni!Wengine hadi kuhemea tunahemea nchi jirani!
 
Kosa kubwa hapo ni kupita njia za panya. Ila hiyo hela mbona ya maandazi tu!!!
 
Subiri mahakama iamue.
Hii nchi dakika mbili mbele hawachelewi kukupa kesi ya uhaini
Anavunja Sheria kwa koti la Upinzani ,

Akilalamika eti wananyanyaswa.

Sasa kisa cha kutumia njia za panya kuingia Kenya na kutoka nini,

Isijekuwa anafanya Mambo ya Ugaidi hapa.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

YAH: KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA SAED AHMED KUBENEA

Mnamo tarehe 5/9/2020, Jeshi la Polisi Tanzania lilimkamata SAED AHMED KUBENEA akiwa katika gari la abiria lenye namba ya usajili T. 645 DKR akitokea kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya, eneo la Namanga akielekea Arusha mjini.

Mara baada ya upekuzi, mtuhumiwa huyo alikutwa, pamoja na vitu vingine, Dola za Marekani Elfu Nane (USD 8000), Shilingi za Kenya Laki Nne Tisini na Moja Elfu Mia Saba (KES 491,700), Shilingi za Kitanzania Elfu Sabini na Moja (TZS 71,000/-), tiketi ya basi la Super Couch lenye namba ya usajili KCP 4230 ya tarehe 05/09/2020 kutoka Nairobi, Kenya kwenda Namanga, ‘Memorandum of Understanding’ kati ya Hali-Halisi (Tanzania) na Buni Media Limited (Kenya), Risiti ya malipo ya hoteli iitwayo After 40 Hotels Limited iliyopo Nairobi, Kenya yenye jina la Kubenea, Saed Ahmed kama mgeni kuanzia tarehe 3/9/2020 hadi 5/9/2020 na. Pasi yake ya kusafiria (Passport).

Mara baada ya kukamatwa, mtuhumiwa alieleza kuwa alifika mkoani Arusha tarehe 2/9/2020 akitokea Dar es Salaam na kufikia katika hoteli iliyopo Arusha mjini. Alieleza zaidi kuwa, tarehe 3/9/2020, alienda kulala kwa Kaka yake tarehe 3/9/2020, na tarehe 4/9/2020 alienda Namanga na kupokea fedha taslimu tajwa hapo juu kutoka kwa raia wa Kenya.
Hata hivyo, mara baada ya kupitia Ushahidi uliokusanywa nimebaini kuwa:-

1. Mtuhumiwa SAED AHMED KUBENEA hakufikia katika hoteli aliyoitaja Arusha mjini, wala kulala kwa Kaka yake kama alivyoeleza.

2. Mtuhumiwa tajwa alivuka Mpaka usio rasmi na kuelekea Nairobi nchini Kenya na kisha kurejea nchini Tanzania bila kutumia Mpaka rasmi mnamo tarehe 5/9/2020.

3. Mtuhumiwa tajwa aliingiza nchini Fedha za Kigeni (foreign currency) bila kutoa tamko rasmi la kisheria kinyume na masharti ya Kanuni za the Anti-Money Laundering (Cross - Border Declaration of Currency and Bearer Negotiable Instruments) Regulations, 2016 zikisomwa pamoja na Kifungu cha 28B(1)(a) cha Sheria ya Kuzuia Utakasishaji wa Fedha Haramu, Na. 12 ya Mwaka 2006.

Hivyo, leo tarehe 7/9/2020, mara baada ya kujiridhisha na uwepo wa ushahidi wa kutosha dhidi ya mtuhumiwa tajwa, sambamba na misingi ya kikatiba inayoniongoza kama ilivyoanishwa katika Ibara ya 59B(4)(a) hadi (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, nimeidhinisha mashtaka yafuatayo dhidi ya mtuhumiwa SAED AHMED KUBENEA:-

a. Kuingia nchini Tanzania kinyume na Sheria ya Uhamiaji, Sura ya 54 Marejeo ya mwaka 2016; na
b. Kuingiza nchini fedha za Kigeni bila kutoa tamko kinyume na Kanuni za Utoaji Tamko la Fedha Mpakani za mwaka 2016.

View attachment 1561443
View attachment 1561444
Usanii mtupu kwani kla mhalifuhuwa anatuandikia magazeti?,

Hii kitu sijui Ina lengo gani na kubenea ametumika tu Kama kawaida yake
 
Back
Top Bottom