Saed Kubenea kwenye hili la Kumshtaki Paul Makonda wala usituchoshe 'Werevu' kwani 'Unafiki' wako unajulikana na wala haujifichi

Saed Kubenea kwenye hili la Kumshtaki Paul Makonda wala usituchoshe 'Werevu' kwani 'Unafiki' wako unajulikana na wala haujifichi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ndiyo maana wengine mnapigwa Kofi na Mwenyezi Mungu kwa mambo mengi Maishani mwenu ila hamtaki Kujifunza na hata 'Kutubu' kwa Muumba ili awasamehe.

Ni Matumaini yangu makubwa kuwa Hela mlizohongwa ili mbadilishe Maamuzi ya Kisutu zitawafanya mkajitibie 'Magonjwa' yenu mbalimbali ukiwemo ule wa 'Uwendawazimu' na wa 'Dally Kimoko' pia.

Ni suala la muda tu ila nae atafungwa.
 
Tulia ngoma ndio inaanza, hata kama kuna unafiki yule lazima achezeshwe kwata tu. Dawa ya unafiki ni unafiki juu ya unafiki.
 
Back
Top Bottom