Saed Ramovic: Ligi ya Algeria ina Ushindani mkali kuliko Tanzania, ambapo kuna timu Tatu tu!

Saed Ramovic: Ligi ya Algeria ina Ushindani mkali kuliko Tanzania, ambapo kuna timu Tatu tu!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Saed Ramovic, kocha wa zamani wa Yanga, alitoa maoni kuhusu tofauti ya ushindani kati ya ligi za Algeria na Tanzania baada ya mechi yake ya kwanza na CR Belouzdad dhidi ya MC Alger katika fainali ya Algerian Super Cup. Alisema,

"Hapa Algeria, unacheza na wapinzani wagumu kila wiki, na hiki ndicho nilichokuwa nakihitaji kama kocha, tofauti na Tanzania ambapo kuna timu tatu tu zinazoshindania ligi ambazo ni Yanga, Simba, na Azam."
IMG_3009.jpeg

MC Alger walitwa Algerian Super Cup baada ya sare ya bao 2-2 dakika 90 ndipo mikwaju ya penati 4-3 kuamua bingwa hapo jana Februari 8.
 
Huyo Anatakiwa akutane na timu moja wapo ya Simba au Yanga Akandwe nne na hiyo timu yake Kama ikivyofanywaga na Yanga ili apate Adabu kidogo
Hiyo haiondoi ukweli wa alichosema. Kumfunga mtu nne kimataifa haimaanishi una ligi bora. Hizo nne wakina Man City na Real Madrid wanakulaga lakini haiondoi ubora wa ligi zao.
 
Back
Top Bottom