Saed Ramovic: Ligi ya Algeria ina Ushindani mkali kuliko Tanzania, ambapo kuna timu Tatu tu!

Saed Ramovic, kocha wa zamani wa Yanga, alitoa maoni kuhusu tofauti ya ushindani kati ya ligi za Algeria na Tanzania baada ya mechi yake ya kwanza na CR Belouzdad dhidi ya MC Alger katika fainali ya Algerian Super Cup. Alisema,

"Hapa Algeria, unacheza na wapinzani wagumu kila wiki, na hiki ndicho nilichokuwa nakihitaji kama kocha, tofauti na Tanzania ambapo kuna timu tatu tu zinazoshindania ligi ambazo ni Yanga, Simba, na Azam."
View attachment 3230430
MC Alger walitwa Algerian Super Cup baada ya sare ya bao 2-2 dakika 90 ndipo mikwaju ya penati 4-3 kuamua bingwa hapo jana Februari 8.
Yupo sahihi tena hizo timu zinanunua sana mechi na upuuzi mwingi kutoka timu mikoani kwa viongozi na walimu wao wakuu wa mikoa na ujinga mwingine unaoletwa na marefa!
 
Saed Ramovic, kocha wa zamani wa Yanga, alitoa maoni kuhusu tofauti ya ushindani kati ya ligi za Algeria na Tanzania baada ya mechi yake ya kwanza na CR Belouzdad dhidi ya MC Alger katika fainali ya Algerian Super Cup. Alisema,

"Hapa Algeria, unacheza na wapinzani wagumu kila wiki, na hiki ndicho nilichokuwa nakihitaji kama kocha, tofauti na Tanzania ambapo kuna timu tatu tu zinazoshindania ligi ambazo ni Yanga, Simba, na Azam."
View attachment 3230430
MC Alger walitwa Algerian Super Cup baada ya sare ya bao 2-2 dakika 90 ndipo mikwaju ya penati 4-3 kuamua bingwa hapo jana Februari 8.
Si aseme tu kuwa Yanga ilikuwa inanunua mechi ndiyo maana alikuwa anaona timu haipati ushindani wa kutosha.
 
Mkumbushe kwamba Simba inajulikana sana afrika.Hata hispania kuna timu mbili tu.
 
Back
Top Bottom