Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Hiyo haiondoi ukweli wa alichosema. Kumfunga mtu nne kimataifa haimaanishi una ligi bora. Hizo nne wakina Man City na Real Madrid wanakulaga lakini haiondoi ubora wa ligi zao.Huyo Anatakiwa akutane na timu moja wapo ya Simba au Yanga Akandwe nne na hiyo timu yake Kama ikivyofanywaga na Yanga ili apate Adabu kidogo
Akiendelea na ile aina ya uchezaji hatamaliza msimu huko.Yanga walikosea sana kumpa timu huyu
Mbowe yuko wapi mbona hasikiki mkuuKumbe huyu hakufukuzwa ila yeye ndio kaitimua Yanga
HaswaaaAlichogundua ubora wake Kama kocha ulipungua kwa sababu timu nyingi alizocheza nazo mechi zilikuwa zinachezwa nje ya uwanja.
Atatoa Siri zote. Inaonekana Friji haigandishi😔😂😂Yanga walikosea sana kumpa timu huyu