Acha uongo hatukua na gusa achia yoyote.We jamaa mbona muongo Sana Ile gusa ACHIA TWENDE KWAO ilikuwa inonekana uwanjani kabisaa na timu ilikuwa inashambulia kwa Kasi sana inakabia juu(turnover)
Afrika ina makocha wengi. Siyo lazima ije hiyo takataka.
Ubibgwa wetu msimbazi ni FebruarySaed ramovic kasharudi yanga kesho ndio anatambulishwa
Gusa achia twende kwao imerudi tena,
Kama asipotambulishwa hii account yangu ifungiwe
Mbona golden arrows , alikiwasha vibaya sana🤣 sio mmemjazia wastaafu halafu mnataka afanye kitu😅Manqoba mpigwa miti hajui mpira.
Yule ni football analyst sio kocha.
We kocha gani mpaka a afukuzwe hana first 11?
Hamna kocha mle wachezaji wala sio shida.Mbona golden arrows , alikiwasha vibaya sana🤣 sio mmemjazia wastaafu halafu mnataka afanye kitu😅
Sidhani kwa wastaafu wa enzi za Nyerere bado hamjamjua mchawi wenu nani , pale hata gadiola hakuna kituHamna kocha mle wachezaji wala sio shida.
Mbinu na aina ya mifumo yake ndio tatizo.
Hamna kocha pale..Mngemchukua Miguel cardoso, hana timu😆
Nataka nikuthibitishie! Huyu kocha wako unayempigia chapuo hana sifa ya kuitoa Yanga kutoka hapa ilipo. Yanga inamhitaji kocha makini wa kuipatia timu matokeo makubwa ndani ya muda mfupi.Ngoja nikupe elimu kidogo Tate Mkuu unavyomchukua kocha aje kwenye timu yako sio Kama unchukua mahindi unapoelekea sokoni kibaigwa hapana lazima umchukue kocha anayeendana na falsafa zako,mwenye project, experience ya mashindano husika,zingatia FALSAFA ya timu
Mngemchukua Miguel cardoso, hana timu😆
Kocha la viwango lile , napenda aina ya ushambuliaji wake sanaNasikia jamaa anataka pesa ndefu sana
Huyu si ndo aliondoka Kwa nyodo na kusema kuwa ligi yetu. NI dhaifu haifai kuwa namba Tano Africa,kweli nimeamini msemo WA Haji Manara Yanga Wenye akili NI wawili tu
Mbona anajua au kutolewa imekua shida mkuu😅Hamna kocha pale..
Bonge la mwalimu kuliko hata aliyetoka.Saed ramovic kasharudi yanga kesho ndio anatambulishwa
Gusa achia twende kwao imerudi tena,
Kama asipotambulishwa hii account yangu ifungiwe
Nataka nikuthibitishie! Huyu kocha wako unayempigia chapuo hana sifa ya kuitoa Yanga kutoka hapa ilipo. Yanga inamhitaji kocha makini wa kuipatia timu matokeo makubwa ndani ya muda mfupi.
Kwani aliyetoka ni mbovu ? Au kakutana na dudu washa washa la simba tu hali ikawa mbaya, ?Bonge la mwalimu kuliko hata aliyetoka.
Bonge la mwalimu kuliko hata aliyetoka.
Namuita wakili wangu msomi@Shadeeya anitetee.Kwani aliyetoka ni mbovu ? Au kakutana na dudu washa washa la simba tu hali ikawa mbaya, ?
ANASHINDWA KWA KUBAHATISHA?Hana ubora wowote! Alikuwa anashindwa kwa kubahatisha tu. Pale hakuna kocha wa kutupeleka robo fainali pale!
Uzuri CAF wanaenda kukutana na wanaume tupu ngoja tusubiri kama kampeni za kumdai uwanja engineer hazitaanza na kumtakia aachie timu,CAF champion kule hakuna lala lelee mzeeAnajua Sana