Safari moja nje ya nchi imenigharimu zaidi ya laki nne(400,000) kwenye vipimo vya Corona tu

Roho za kimasikini ni mbaya sana , kwahiyo ukifanya dola 100, ndio risk inapungua?

Risk zitapungua kwa kufuata taratibu za kiafya kwa wanaosafiri na sio kuweka bei kubwa kwenye vipimo,

Hiyo ingekuwa gharama ya matibabu atlist, lakini siyo hivyo vipimo

Waweke gharama nafuu, kinachotakiwa siyo pesa, kinachotakiwa ni kujua hali ya afya ya msafiri na usalama ..
 
hapana ,labda lipa chukua risiti kadai bima yako ikulipe
Ulishawahi kufanya hivyo, kwa bima hziz za serikalini wakakubali, utapata utarudishiwa baada ya muda gani?, je hata kwa hii bima ya CHIF itafaa??
 
Sidhani kama ipo..as lazima ulipe kwa cash .
Ok nilichelewa mkuu hii imeshakuwa chanzo cha mapato kwa nchi yetu, nahisi haitakuja kutolewa tena .


inapenda sana kutolea macho kila kitu pasipo kujali ina waminya wanachi wake, imagine nchi nyingine uliyo3nda dola 50 ukija bongo wanai double????????
 
Mtoto akililia wembe MPE.
Usilalamike mliyalilia wenyewe kunyweni kimya kimya
 
Nchi nyingi duniani huwezi kusafiri bila hiyo certificate ya covid unayopewa baada ya kupimwa, sasa sielewi watu wanomsema mtoa mada "mlilia" walilia vipi wakati no docs zinazohitajika wakati wa kusafiri??

Wanaacha kujadii juu ya gharama za vipimo...
 
Kwa wasafiri katika nchi nyingi walalipishwa hiyo gharama na nchi nyingi zinaazia dola 45 mpaka 120.
Kwa wagonjwa wa kawaida (kutokana na dalili) serikali zimejitwika gharama zake(ruzuku))
 
Mkuu uwe unaandika baada ya kufanya research. Dola 100 iliwekwa kipindi cha Magufuli
Hata ingekuwa kipindi cha Mkapa, lipeni mpimwe acheni kulalamika hovyo! Kama dolla mia nyingi tulia Keko Magulumbasi na mkeo! Usisafiri nje ya nchi
 
Ndio wameweka kiwango hicho na mtakilipa acheni kulia lia
 
Sehemu nyingi tunapata majibu ndani ya masaa 24 kupitia ile portal(baada ya gharama kupanda toka 40000 mpaka 230000 Kumekuwa hakuna foleni tena kwenye sehemu za upimaji)
Na kwa ukanda huu Tanzania ndiyo yenye utaratibu mzuri zaidi katika hili swala.
Kuanzia uchukuaji wa sampuli mpka majibu.
 
Majibu ndani ya masaa 24 ni uongo mtupu, ukipimia hospital yoyote Dar es salaam, hadi wapeleke samples maabara ya Taifa mabibo ni masaa 24 tayari yamekatika, kuja kupata majibu ni 48hrs na kuendelea, vivyo hivyo kwa mtaani. Nimeona baadhi ya watu wakilia sababu ya safari zao kugoma sababu ya kuchelewa kupata majibu. Bahati nzuri nimefanya same process Kenya, ipo very fast, convenient & cheap.
 
Hata ingekuwa kipindi cha Mkapa, lipeni mpimwe acheni kulalamika hovyo! Kama dolla mia nyingi tulia Keko Magulumbasi na mkeo! Usisafiri nje ya nchi
Watanzania tumebarikiwa Roho mbaya, wivu na ujuaji.

Habari za asubuhi ndugu Mtanzania mwenzangu....
 
Sasa mkuu Kama majibu Ni valid for 72hrs Halafu kipimo tu kinachukua 48hrs. Hapo ngumu kueleweka unatakiwa upime siku ngapi kabla ya Safari ili uwe na majibu valid yasiyozidi 72hrs???
 
Watanzania tumebarikiwa Roho mbaya, wivu na ujuaji.

Habari za asubuhi ndugu Mtanzania mwenzangu....
Habari salama tu mkuu, roho mbaya ni jadi wala hujakosea! Kama kuna mtu ana akili ya kumuua mtu makini ambaye alikuwa visionary sioni haja ya kubembelezana!
 
Mkuu majibu ndani ya 24hrs Ni sure bet ama sometimes Kuna delays? Kuna mdau kasema majibu Ni 48hrs Hadi vipimo vipelekwe maabara kuu.

I thought hizo hospital walizoruhusu kutoa hiyo huduma zinajitegemea vipimo vyake sio lazima wapeleke maabara kuu.
 
Sasa mkuu Kama majibu Ni valid for 72hrs Halafu kipimo tu kinachukua 48hrs. Hapo ngumu kueleweka unatakiwa upime siku ngapi kabla ya Safari ili uwe na majibu valid yasiyozidi 72hrs???
Ndio maana watu wengi wanakosa safari zao au safari inakuwa ya mashaka sababu una window ndogo sana, hizo frustration za hao watalii kuhusu vipimo vya Tz wakati unaondoka ni za wasafiri wote wanao ondoka Tz.
 
Mkuu majibu ndani ya 24hrs Ni sure bet ama sometimes Kuna delays? Kuna mdau kasema majibu Ni 48hrs Hadi vipimo vipelekwe maabara kuu.

I thought hizo hospital walizoruhusu kutoa hiyo huduma zinajitegemea vipimo vyake sio lazima wapeleke maabara kuu.
Hakuna hospital inayopima yenyewe, zote zinapeleka maabara kuu ya Taifa Mabibo, SSH na yeye ameleta ujinga mwingine wa kila anayeingia Tz lazima apime tena rapid test hata kama ana certificate yenye 72hrs bado.
 
Na corona yote hii mnasafiri-safiri nje ya nchi ili iweje, si mkae kijijini mlime tuuze mazao , kuna njaa tuliambiwa inakuja🤣🐒🤸
 
Dogo janja si alikataa hiyo mambo mpka akaachiwa
 
You said it all
 
Then booking inakupa appointment instantly? Majibu yanachukua muda gani?
Kuna long queue?
Msaada please based on your experience.
Mimi nilivyotaka kusafiri nilipata majibu yabgu ndani ya 24hrs.Kabla ya kuchagua kituo cha kuchukua sample ni bora uwapigie. Nafikiri baadhi ya hosp ukiacha ile dola 100 ya serikali.. bado nao wanaongeza service charge yao. Nakumbuka kuna hosp moja niliwapigia wakaniambia kuna pesa natakiwa kulipa zaidi ukiacha ile hela ya serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…