Armani William
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 248
- 744
Hii ni picha umedownload, ila hata ingekuwa ni bajaj haiongezi wala kupunguza millage.Wakuu, mwaka huu mwishoni nimepanga kufanya safari kuendesha hiyo ndinga kwenye picha kutoka Cape Town South Africa mpaka Dar Es Salaam Tanzania karibia Kilomita 5,000.
Kuna yeyote yaliyewahi fanya safari ya namna hiyo, nipate mawili matatu ya barabara na usalama.View attachment 2325827
Na ni kwa nini asipite Namibia ndio nchi iko upande wa western Cape?Pitia njia ya Botswana utokee Zambia. Usipite Zimbabwe. Utanishukuru.
Ukifika maporomoko ya Livingstone tutumie kapicha humu.
naunga hii hoja.Pitia njia ya Botswana utokee Zambia. Usipite Zimbabwe. Utanishukuru.
Ukifika maporomoko ya Livingstone tutumie kapicha humu.
Vipi usalama barabarani? Je Namibia na Zambia wanaruhusu kusafiri usiku?Nimeendesha mara tatu kutokea Cape Stad huwa tunapita Namibia,Zambia,Tanzania ukipita kuitafuta Pretoria...
Mkuu vipi kuhusu malipo wakati unaingia Tanzania?Nimeendesha mara tatu kutokea Cape Stad huwa tunapita Namibia,Zambia,Tanzania ukipita kuitafuta Pretoria...
Hapa ndo pakuzingatia, sasa akiingiza mgeni ndo inakuwaje? Na kama huyo mgeni anaiacha hapa tz Kuna utaratibu gani kwa anayeachiwa?Hii ni picha umedownload, ila hata ingekuwa ni bajaj haiongezi wala kupunguza millage...
Usalama Namibia na Zambia upo wa kutosha kwa Zambia jambazi wa magari au watekaji wanapotezwa na kikosi maalumu kipo kwa ajili hiyo miaka ya nyuma kidogo maeneo ya Mkushi palikua na utekaji nadhani walikua wanatokea Congo Drc wale walipotezwa wote..Vipi usalama barabarani? Je Namibia na Zambia wanaruhusu kusafiri usiku?
Nchi za Sadc kodi ipo nafuu kwa bidhaa zinatoka ukanda wao ila hiyo gari utakayonunua SA iwe made ya SA na unapata karatasi za export kutoka wizara yao ya Export and trade ipo Sunyside jengo la Mandela bure ila uwe na document zote za Interpol na wao ndio wanakuuliza utapitia mpaka upi ili likitoka hiyo namba inafutwa SA na hata Interpol wakija Tanzania hawawezi kukusumbua kwa sababu gari ishafutwa kwao muda mwingine wanakamata gari ambazo hazijafutwa SA ila sio za wizi..ukifata utaratibu hauwezi kusumbuliwa miaka nenda rudi...Mkuu vipi kuhusu malipo wakati unaingia Tz?
Basi na mimi niandalie huyo mbuzi niko kyaka naitafuta bukoba mjini si mda tutaonana hapo rwamishenye karibu na maduka ya kichwabutaMkuu ukifika Mutukula nambie nikuandalie mbuzi utaikuta hapa Rwamishenye
Shusha Uzi mjombaIla msinunue gari mtandaoni SA watu wametapeliwa sana matrekta na gari mnaambiwa sijui bank repo pana utapeli sana hapo siku ntaanzisha uzi wake njia salama ya kununua na kusafirisha gari kutoka ZA...
Hapo kwenye trecta mkuu weka ufafanuzi wa kina naomba unitagIla msinunue gari mtandaoni SA watu wametapeliwa sana matrekta na gari mnaambiwa sijui bank repo pana utapeli sana hapo siku ntaanzisha uzi wake njia salama ya kununua na kusafirisha gari kutoka ZA...