Safari ya gari Cape Town, Afrika Kusini mpaka Dar es Salaam, Tanzania

Safari ya gari Cape Town, Afrika Kusini mpaka Dar es Salaam, Tanzania

Namm
Yes ni njia imetulia na haina usumbufu sana hasa pale border, wazo zuri sana hili kuliko pale Mpika unaonyosha hadi chinsali, tunduma border kuna urasimu sana pale wa kukatisha tamaa kabisa
Mm natamani sana kilijua hili border la Zobwe na hapo Sumbawanga, mpaka sasa mambo yekete sa'bu Tunduma ni pasua kichwa sana aisee
 
Ila msinunue gari mtandaoni SA watu wametapeliwa sana matrekta na gari mnaambiwa sijui bank repo pana utapeli sana hapo siku ntaanzisha uzi wake njia salama ya kununua na kusafirisha gari kutoka ZA...
Huu Uzi ulianzisha mkuu.nataka kujua uzoefu wa kununua gari za South
 
Back
Top Bottom