makondekoujiji
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 384
- 499
Mkuu tupo wote hapa capetown,nakushauri usipite Zimbabwe,pitia botwasa to Zambia.Pia nami ninampango wakurejea bongo hapo january naweza kuungana na wewe mkuu.Wakuu, mwaka huu mwishoni nimepanga kufanya safari kuendesha hiyo ndinga kwenye picha kutoka Cape Town South Africa mpaka Dar es Salaam Tanzania karibia Kilomita 5,000.
Kuna yeyote yaliyewahi fanya safari ya namna hiyo, nipate mawili matatu ya barabara na usalama.
View attachment 2325827