Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Habari 🖐 🖐 🖐
Binadamu kabla hajaingia kweny imani, inabidi kwanza ujiulize swali tatanishi, swali ambalo hadi sasa kila mtu ana mtazamo tofauti, swali lenyew ni hili:
Je, Mungu yupo? Akiamua kutoamini katika uwepo wa mungu bac kheri yake, lakini akiamua kuamini katika mungu bado safari ni ndefu.
Binadamu akitoka kweny hio stage anakuja kweny stage nyingine. Je, dini gani sahihi? Je, ni Uislamu, Buddha, Uyahudi, Greek mythology, Norse mythology, Hindu, Ukristo?
Binadamu tena akitoka kweny hio stage anakuja kweny stage nyingine, sasa mfano ameamua kuamini katika uislamu; je, anachagua sect (dhehebu) ipi? kuna Sunni, Shia, Whabbi, Salafi, Berelvi, Sufi and Deobandi.
Mfano mwingine, akiamua kuamini katika ukristo;
Je, anachagua sect ipi? Kuna Roman Catholic, Lutheran, Anglican, Walokole, Wasabato na kumbuka ukristo ndo dini iliyogawanyika katika branches nyingi kuliko dini nyingine yeyote duniani.
Hata humohumo kweny hizo sect, kuna makundi pia na kuna watu wana imani zimegawanyika, mfano Roman catholic kuna wanaoamini Yesu ni Mungu na kuna wengine hawaamini hivo, hata wasabato kuna wale "Masalia" wanaamini kwamba wachungaji hawapaswi kulipwa na kuna wale wasabato wa kawaida.
Yaan kimsingi ni kwamba, safari ya imani ni safari ambayo inahitaji hekima na uvumilivu, Unatakiwa uwe "Open-Minded" sana na kila siku uwe unajitathmini na kujifanyia assessment, namaanisha kuongeza knowledge.
Hii ni pamoja na kusoma maandiko matakatifu kwa umakini either Qur'aan au Biblia au kitabu chochote unachokiamini, kama mpagani unayeamini kweny bing-bang theory bac uwe unaji update maana concept ya bing-bang theory isn't complete, bado inaboreshwa kila siku.
Na kama upo flexible bac soma hata mambo ya watu wengine, hii itakusaidia sana. Mfano mm ni mpenzi sana wa stories, I love reading things that others believe in, mfano nimesoma sana Ḥadīth, Greek mythology, Norse mythology, Hindu (haswa mahabharata) na pia ni mtu ambaye naijua vizur bing-bang theory.
Kimsingi ni kwamba, uncertainties zipo nyingi mazee, uncertainties zipo kila mahali, inachanganya sana ndio maana sometimes mtu anaamua tuu kutoamini 😅 😅 😅.