Safari ya kujitafuta 2025 inaanzia hapa! Hisa 129,700 za CRDB, NICOL 3864, UTT 400k safari inaendelea

Mimi sifanyi hivyo, napunguza starehe zisizo na maana
 
Umeanza jipata
 
Ni ngumu sana kisevu 700,000/- kwa kipato cha 1.2m
Fanya hivi
-nyumbani matumizi kwa mwezi 300,000/- chukua Laki3 toa ile 1.2m utabaki na laki9, hapo sijaweka Kula kazini (mchana na asubuhi), Nauli za kwenda kazini, Vocha, maji, umeme, gasi/mkaa, kuvaa, kin'gamuzi,
- Milioni40 kuipata labda ujiingize kwenye magendo kwa sababu kipato chako kwa mwaka ni hakizidi 15.6M
 
You will be fine... you will be fine..!! Jomba usijali mambo yatakaa sawa. Kupitia andiko lako naona stress ya kufa mtu. Wakati mgumu unaopitia nao utapita.
 
He will be fine.... ni stress tu zinamzingua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…