Safari ya kujitafuta 2025 inaanzia hapa! Hisa 129,700 za CRDB, NICOL 3864, UTT 400k safari inaendelea

Sasa si bora ufe tu, kuna faida gani kuishi kama hata kula ni tabu?
 

Kasema kazini kuna one two one two za kutosha bado posho. Posho zao ni sawa na mishahara mitatu ya LGA
 
Halafu kweli vile
 
Ntarudi kukuelezea safari yangu ya 2024 ilivyonifungua kimafanikio hasa baada ya kufeli mpaka mwezi july nlijifungia ndani wiki nzima.

Nilivyotoka kila kitu kilibaki historia
ri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…