Safari ya kujitafuta 2025 inaanzia hapa! Hisa 129,700 za CRDB, NICOL 3864, UTT 400k safari inaendelea

Kifupi mshahara wangu ni 1000k+ as take home. Kwanzia mwezi huu huwa nina tabia ya kusave 700k each month
nina subscribe huu uzi ntausoma na kucomment vizuri bdae ila kwa harakaharaka kiongozi wewe ni mwizi.
 
nikajua aliongea nae Eva peke yake!!
awapi hawa watu si wakuwaamini hata kidogo
we fikiria unaenda naye kanisani kisha anamkubali mchungaji zaidi yako na anampa kila kitu tena kuzidi wewe!
 
mkuu ukisema anampa kila kitu unamaanisha hadi tunda mtumishi anapewa?
 
Sasa hicho ni cha kuuliza? na hivi akina ushahidi mtu akioga!!! sasa wakwame wapi Mchungaji hula kondoo wa zizi lake
 
nina subscribe huu uzi ntausoma na kucomment vizuri bdae ila kwa harakaharaka kiongozi wewe ni mwizi.
Mkuu fuatilia nyuzi zangu. Hicho kiasi nilichonacho ni accumulation ya mda mrefu toka 2021. Kuhusu mipigo kila sehemu ipo Unapewa project ya kufanya unaambulia laki 1 2 3 hiyo ni kawaida
 
Jihadhari pia na manabii na wachungaji feki watakukamua mpaka Senti ya mwisho, usije sema hujaambiwa
 
awapi hawa watu si wakuwaamini hata kidogo
we fikiria unaenda naye kanisani kisha anamkubali mchungaji zaidi yako na anampa kila kitu tena kuzidi wewe!
😂😂
 
Ndio maana Uchumi wa Tanzania Unastahimili Ukame...

Ndio Maana Tanzania uchumi wake unakua sana watu KILA MTU LAZIMA AWEKEZE na kuzaa wapiti bila kelele... Hata nyumba zao wanaweka sligboad kuondoa kelele
 
Ndio maana Uchumi wa Tanzania Unastahimili Ukame...

Ndio Maana Tanzania uchumi wake unakua sana watu KILA MTU LAZIMA AWEKEZE na kuzaa wapiti bila kelele... Hata nyumba zao wanaweka sligboad kuondoa kelele
 
Ndio maana Uchumi wa Tanzania Unastahimili Ukame...

Ndio Maana Tanzania uchumi wake unakua sana watu KILA MTU LAZIMA AWEKEZE na kuzaa wapiti bila kelele... Hata nyumba zao wanaweka sligboad kuondoa kelele
 
Ndio maana Uchumi wa Tanzania Unastahimili Ukame...

Ndio Maana Tanzania uchumi wake unakua sana watu KILA MTU LAZIMA AWEKEZE na kuzaa wapiti bila kelele... Hata nyumba zao wanaweka sligboad kuondoa kelele
 
Ndio maana Uchumi wa Tanzania Unastahimili Ukame...

Ndio Maana Tanzania uchumi wake unakua sana watu KILA MTU LAZIMA AWEKEZE na kuzaa wapiti bila kelele... Hata nyumba zao wanaweka sligboad kuondoa kelele
 
Sasa hicho ni cha kuuliza? na hivi akina ushahidi mtu akioga!!! sasa wakwame wapi Mchungaji hula kondoo wa zizi lake
Dah imeniuma sana kumbe unaweza kuwa na mtu anajifanya godly kumbe majanga
 
Ndugu zangu hisa ndo hizo zinazidi kupepea kwa Kasi ya 5G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…