Safari ya kujitafuta 2025 inaanzia hapa! Hisa 129,700 za CRDB, NICOL 3864, UTT 400k safari inaendelea

Safari ya kujitafuta 2025 inaanzia hapa! Hisa 129,700 za CRDB, NICOL 3864, UTT 400k safari inaendelea

Yaani mtu akiandika Nicol😂😂😂😂, nacheka sana, nicol shenzi kabisa.
Kabla hujafa hakikisha ushabadirisha umiliki wa hizo shares. Watoto wako watakuja nao kubadirsha mbeleni labda watakuja kunyooka huko. Ila hela bora yte uweke crdb, tbl, au kidooogoooo Bora ujenge appartment
 
NICOL lazma uwe mjanja. Mimi nilinunua 620 nimeuza 740 then nimewekeza CRDB. Hazieleweki zile
Yaani mtu akiandika Nicol😂😂😂😂, nacheka sana, nicol shenzi kabisa.
Kabla hujafa hakikisha ushabadirisha umiliki wa hizo shares. Watoto wako watakuja nao kubadirsha mbeleni labda watakuja kunyooka huko. Ila hela bora yte uweke crdb, tbl, au kidooogoooo Bora ujenge appartment
 
Yaani mtu akiandika Nicol😂😂😂😂, nacheka sana, nicol shenzi kabisa.
Kabla hujafa hakikisha ushabadirisha umiliki wa hizo shares. Watoto wako watakuja nao kubadirsha mbeleni labda watakuja kunyooka huko. Ila hela bora yte uweke crdb, tbl, au kidooogoooo Bora ujenge appartment
NICOL kufilisika ni dk 0
 
Ukiweza kucheza na financial markets za Tz vizuri, wewe utakuwa tajiri kuliko active investor
 
Mkuu kwema , aseee ume ni inspire sana , Mimi nimejiwekea target ya 1M per month ila niko UTT na namba zinasoma (zinaongezeka) kila siku , target yangu ni 300M baada ya miaka 10 , then naamia bonds za miaka 25 kwa kutumia 200M niliyo collect ,then naanza kutumia magawio kujenga apartments - target ndani ya miaka 10 niwe na apartments kama saba.Ile 100M nyingine naiacha Bond naingia kwenye mfumo wa gawio kila mwezi - hii itatumika kuendesha pilika pilika za home watu wafurahi.

Sitatoa hela yangu tena mfukoni kuendesha familia , familia itaishi kwa magawio tu , me focus yangu itakuwa ni kujenga utajiri tu nianze kufukuzana na kina MO na GSM.
 
Asee baada ya kupata financial education , asaiv nafanya kazi kwa target kama kichaa - ukiwa kijana usipojitaabisha sasa utakuja teseka sana baadae , na kadri muda unavyozidi kwenda ndio maisha yanazidi kuwa tight hivyo usipojipanga mapema utapangwa

Hebu fikiria watoto wetu wako shule wanasoma lakini ajira nchi hii ishakuwa jau , wazazi tusipoandaa mifumo ya kiuchumi ya kifamilia mapema tutatengeneza bomu kwa watoto wetu ,serikali haiwezi ajili kila mtu na mpaka sasa washafeli - tusipotafuta njia mbadala na kuondoa hii mentality ya kuajiriwa kwa watoto wetu lazima tutasaga meno baadae.

Lazima turudi kwenye family economy kama wahindi wanavyofanya mfano Kina MO walipokea urithi na kuendeleza ,hivyo hii ni chachu kwetu kuichukua kama changamoto na kuifanyia kazi , Hapa inabidi kujitoa kafala tu kubali kuumia wewe ili utengeneze daraja kwa uzao wako.
 
Back
Top Bottom