DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Safari ya kumkomboa mtu mweusi itachukua miaka mingi, maana uhuru wa mtu mweusi upo katika mikono na miguu lakini akili bado imefungwa minyororo.
Naandika haya kwa kuona kuwa, ili taifa liendelee hatuitaji mambo mengi zaidi kufungua akili zetu zilizofungwa minyonyoro.
Naandika haya kwa kuona kuwa, ili taifa liendelee hatuitaji mambo mengi zaidi kufungua akili zetu zilizofungwa minyonyoro.