Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Wanaenda vitani bila mafunzo na wanapelekwa front line wawe chambo...
alikuwa trained wapi wakati hata ndugu zake wanasema walikuwa hawajui kama ndugu yao ni mwanajeshi?Alikua well trained na kupitia mafunzo ya vyuo mbalimbali vya kijeshi hata south africa so usimchukulie poa
alikuwa trained wapi wakati hata ndugu zake wanasema walikuwa hawajui kama ndugu yao ni mwanajeshi?
Is there a direct communication between PMC Wagner Group and the family or Ubalozi ?
Na kuhusu gharama za kusafirisha ni wao Wagner wametoa ama ni nani ?
Na kuna "Fidia" yoyote familia itapata baada ya kifo cha askari ?
Tangulia mpambanaji....
Hata mm nitajilipua tu niupige vita umasikini. Umasikini ni mbaya aseee
Na asikwambie mtu hela ina attract hela
Unataka kwenda vitani nikuunganishe au unajiripua kwa njia tofauti?Tangulia mpambanaji....
Hata mm nitajilipua tu niupige vita umasikini. Umasikini ni mbaya aseee
Na asikwambie mtu hela ina attract hela
Mkuu lete ushahidi kuwa alikuwa well trained, nje ya hapo utakuwa ni uongo.Alikua well trained na kupitia mafunzo ya vyuo mbalimbali vya kijeshi hata south africa so usimchukulie poa
mzee hakuna cha treiningi wala nn hao walikua wanawekwa frontline afu mafunzo yenyew n ya week1 una tegemea nn ume sahau ya mobilization ambapo mpaka walev wa kirus walikua wana pewa mafunzo kwa week 1 kisha wana pelekwa frontlineAlikuwa well trained na kupitia mafunzo ya vyuo mbalimbali vya kijeshi hata south africa so usimchukulie poa
Jamaa ana spirit kama ya wa West Africa. Alijua akifanikiwa akitoboa ndo basi mpunga wake angeish vizuri siku zake zilizobaki duniani sema ndo hvyo imekuwa bahati mbya. Alikufa kijeshi Na ndo maana wamemuaga kijeshi.Huyo ni mpambanaji na historia imeandikwa, hapa wanaoponda wengi wetu tunapata viazi nyumbani kwetu
Nipatie mafunzo uone...Unataka kwenda vitani nikuunganishe au unajiripua kwa njia tofauti?
Hizo ni akili zako za kufikirika lakini uhalisia ni kwamba huwa wanapelekwa front line bila mafunzo yeyote mfano mzuri na wale mobilizationsKwa akili yako unadhani miaka saba urusi alikua bado anasoma tu?