Safari ya Kwenda Mayotte: Mjuzi wa Kifaransa anahitajika

Kifaransa nilikisoma kidogo mwaka 2004 pale Makongo Form 3 baadaye ya kuhamia pale tokea Lake Secondary School ya Mwanza. Sina msingi mzuri wa Form One and Two kwani sikufanikiwa kupata msingi mzuri wa Mwalimu wetu nguli bwana Komba.

Hivyo kabla sijazamia Mayotte naomba kama kuna mjuzi aliyekwiva anifungue macho kuhusu lugha hii. Kwa sasa nipo Meatu Simiyu. Nahitaji mbinu za kujifunzia lugha hii

Natanguliza shukrani.
Umeshafika Mayotte
Embu tupe mrejesho
 
TIASSA bado,kuna zuio la kusafiri kwenda huko kwa sababu ya covid-19
Na pia tz tuna ban ya kutokwenda ktk nchi zote ambazo ni jumuiha ya EU,ambapo Mayotte kama koloni ya Ufaransa bado hawajaturuhusu
 
Kifaransa nilikisoma kidogo mwaka 2004 pale Makongo Form 3 baadaye ya kuhamia pale tokea Lake Secondary School ya Mwanza. Sina msingi mzuri wa Form One and Two kwani sikufanikiwa kupata msingi mzuri wa Mwalimu wetu nguli bwana Komba.

Hivyo kabla sijazamia Mayotte naomba kama kuna mjuzi aliyekwiva anifungue macho kuhusu lugha hii. Kwa sasa nipo Meatu Simiyu. Nahitaji mbinu za kujifunzia lugha hii

Natanguliza shukrani.
Je umeshafanyikiwa kupata sehemu ya kujifunza ? Kama bado nipo hewani kwa sasa
 
Back
Top Bottom