guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
- Thread starter
- #21
Kufundisha kiingereza ndiyo jambo kuu linalonipeleka huko ila kuchoma mishikaki na vingine ni part time tu ili kukamatia euro za ziadaNdio unaenda kuuza nyama Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufundisha kiingereza ndiyo jambo kuu linalonipeleka huko ila kuchoma mishikaki na vingine ni part time tu ili kukamatia euro za ziadaNdio unaenda kuuza nyama Mkuu.
Umeshafika MayotteKifaransa nilikisoma kidogo mwaka 2004 pale Makongo Form 3 baadaye ya kuhamia pale tokea Lake Secondary School ya Mwanza. Sina msingi mzuri wa Form One and Two kwani sikufanikiwa kupata msingi mzuri wa Mwalimu wetu nguli bwana Komba.
Hivyo kabla sijazamia Mayotte naomba kama kuna mjuzi aliyekwiva anifungue macho kuhusu lugha hii. Kwa sasa nipo Meatu Simiyu. Nahitaji mbinu za kujifunzia lugha hii
Natanguliza shukrani.
Je umeshafanyikiwa kupata sehemu ya kujifunza ? Kama bado nipo hewani kwa sasaKifaransa nilikisoma kidogo mwaka 2004 pale Makongo Form 3 baadaye ya kuhamia pale tokea Lake Secondary School ya Mwanza. Sina msingi mzuri wa Form One and Two kwani sikufanikiwa kupata msingi mzuri wa Mwalimu wetu nguli bwana Komba.
Hivyo kabla sijazamia Mayotte naomba kama kuna mjuzi aliyekwiva anifungue macho kuhusu lugha hii. Kwa sasa nipo Meatu Simiyu. Nahitaji mbinu za kujifunzia lugha hii
Natanguliza shukrani.
Mkuu nilikucheki PM fanya mambo basiPoa. Unifwate pm