Safari ya Maisha ya Kiroho ya Hayati Dkt. John Magufuli

Acheni kupamba na kumpa sifa za uwongo Magufuli.
Iko wazi alivyokuwa mnafiki jeuri na katili.
Alisema waliochagua upinzani wasahau maendeleo.
Alsema bomoa nyumba za kimara, Kisha akase zamwanza zisibomolewe.
Alisema matajiri wataishi Kama mashetani.
Alisema watu wakae majumbani na mavi yao.
Alisema hatasomesha wazazi (wanafunzi waliopata mi mba)
Hakuchukua hatua zozote kuchungza tukio la Lissu kupigwa risasi na matukio mengine ya mauajo na utekaji.
Watu walishuhudia maneno na matendo yake. Hawskushuhudia akiomba msamaha na kutubu. Muda na nguvu mnazotumia kumsifia mngepiga magoti msali kumuombea msamaha wa dhambi kwa Mungu. Hata Kama Mungu hatamsamehe, hizo Sala zitawafaa ninyi.
 
Acha mihemko Boss,

Biblia imeandikwa kwa Kiswahili.
Kajifunze Ni maana ya KANISA?
Nani wa kwanza kutaja neno KANISA?
Na nani mwanzilishi wa KANISA?

Nitajie ni ukurasa gani huko kwenye biblia unasema kanisa ni Mungu.
 
Alimpenda Mungu au alipenda kwenda kanisani? Au huko makanisani mnafundishwa kuwa kanisa ni Mungu?
😀😀😀😀😀😀
Huyu baba alipenda sana kujionyesha na kusifiwa. Alikuwa mnafique sana. Anaenda kanisani kupiga siasa.
Nawashauri maaskofu na mapadri waache unafiki wa kupindisha sheria na taratibu za kanisa. Inawezatokea anafariki muumini ambae kwaudhaifu wake alikuwa hatoi zaka au hashiriki kusali jumuiya, hawendi kumzika. Lakini akifa tajiri au kiongozi ambae maovu yake yako wazi- uzinzi, wizi, dhuluma, ushirikina etc, utakuta anazikwa na askofu au mapadri zaidi ya mmoja, na anamwagiwa masifa kibao.
Wachunga kondoo wa hivi wanashusha hadhi ya kanisa na kukatisua tamaa waumini.
 
Na hili la unafiki na kijipambanua Kichaa yule hashimdwi kitu, ndio linalo wafanya wajane waamini ipo siku watapigiwa simu na kiongozi wa malaika. Shenzi kabisa kabisa
 
Huyu jamaa mna mchukia coz alisimamia ukweli
Tatazo la Watanzania wengi wao hawapendi kuambiwa ukweli! Hata ukikuta Mwanaume au Mwanamke anatembea na Mume au Mwanamke wa Mtu na ukimwambia acha tabia hiyo siyo nzuri basi lazima atakukasirikia maana anaona Kama umnamuingilia kwenye Mambo yake!!!
 
Kimsingi yule alikuwa ni zaidi ya shetani
 
Watumishi wa Mungu wanaharibu heshima zao kwa kumwombea mtekaji na muuaji apokelewe kwa Mungu wakati alishaingia jehanamu tangu siku ile aliyokata roho.
 
Upendo wangu kwa Magufuli hakuna aliye hai sasa atakuja kuuzima, umelala mahali pema peponi kamanda wangu, imani ni bayana ya mambo yasiyoonekana hivyo binafsi naamini hivyo na hakutakuwepo wa kunibadili maishani mwangu, uzuri nilipewa ubongo wangu mwenyewe, macho yangu na masikio pia… “I never resonate common sense by someone else’s sense organs”… I do me.
 

Ndio maana mimi nimeacha kabisa kwenda kanisani.
 
Ni kweli kabisa ndugu yangu,
Yafaa wanadamu tusipende kudanganyana na baya zaidi kujidanganya wenyewe, KWANI,
'Heri kila mtu amchaye BWANA,Aendaye katika njia yake. Taabu ya mikono yako hakika utaila; Utakuwa heri, na kwako kwema'. ZABURI 128: 1-2. AMEEN
 
Huyu si alianzisha kampeni ya kutaka Vatican imtangaze J. K. Nyerere kuwa Mtakatifu!

Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
 
Huo muda wa kuandika huu upuuzi umeupata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…