benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
- Thread starter
- #21
Mbona sasa hoja zako hazina muunganiko, kutokuwa na kitu, Dada na Pesa kunaendana vipi na hoja hapa. Au hivi ndivyo unafanya na Dada yako?Ukimuona amekaa, unaweza kudanganyika kwamba juu kuna kitu, lakini ukweli ni mtupu! Huyu si ndiye miaka ya kugombea alikuwa anaombewa pesa za kampeni na dada yake kwa mahawala zake? Yaani dada anaomba pesa kwa mzungu anayejivunia kula uroda naye ili kaka apate pesa za kampeni, na kuahidi kurudisha fadhira! Siyo huyu????? RUBBISH!