kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Safari ya mama Tanga haikuwa safari ya kawaida.Natafaiari safari ya Mama Samia kwenda Tanga, najiuliza alirejea lini Dar, najiuliza kwanini safari ya Waziri Mkuu ilifuta ya Makamu ikawepo? Haya maswali yananifanya niamini nchi inapita kipindi kigumu ambacho ratiba za wanadamu na mipango ya wanadamu haiwezi kutumia bali mipango ya Mwenyenzi Mungu ndiyo inabaki kutimia...
Hujaeleza unayapi kichwani mkuu nasi tukakuelewa!Natafaiari safari ya Mama Samia kwenda Tanga, najiuliza alirejea lini Dar, najiuliza kwanini safari ya Waziri Mkuu ilifuta ya Makamu ikawepo? Haya maswali yananifanya niamini nchi inapita kipindi kigumu ambacho ratiba za wanadamu na mipango ya wanadamu haiwezi kutumia bali mipango ya Mwenyenzi Mungu ndiyo inabaki kutimia...
Aiseeee, WIKI NZIMA?Kati ya TAREHE 11 na 17 Kuna Siri nyingi na nikakati mingi Sana ilifanyika.
Hope tutajua (Ile tunaopaswa kuyajua) na mengine ytaendelea kuwa siri
Walipaswa hata kutuambia Mzee baba anaumwa tumwombee labda Leo angekuwa hai.Aiseeee, WIKI NZIMA?
Walikuwa wakifanya nini?
Mkuu mi nilibahatisha ya mkuu mmoja hii hapa , page sjui ya 17
Inawezekana hata Majaliwa alikuwa hajui lolote alipolazimika kusema uongo kule Njombe?Walipaswa hata kutuambia Mzee baba anaumwa tumwombee labda Leo angekuwa hai.
Ila Kuna watu walikua busy wakisubiri Jogoo awike Mara tatu
Kilichoogopesha na kinachoogopesha wengi si jiwe bali waliokuwa nyuma ya jiwe na sasa inawezekana wako nyuma ya bi Tarabushi watu bado hawana hakikaWakuu tunasubiri madini hayo, Jiwe halipo tena. Mnaogopa nani mwingine huko?
inji hii ina ngekewa na wakuu wa majeshi tangu uhuru.Mungu ambariki sana mabeyo tusingekuwa hapa tulipo
Wamechota mapesa hata jamaa hajazikwa? Nchi tumekwisha tutamkumbuka JPM, sijui Kama mama atawaweza Hawa majizi. Naona ndo maana yanafurahia kifo Cha JPM.Hapana kati ya tarehe 9/32021- 17/3/2021 watu walikuwa wanajipangia safu ya kuongoza nchi bila kufuata katiba , kuiba mabilioni kwanza 96 bilioni, pili 180 Biloini , wangine wamezitumia kuhonga wajumbe wa kamati kuu ili wapate madaraka hasa VP there are more than that .
Mara maziko tarehe 25 mara 26!Hujaeleza unayapi kichwani mkuu nasi tukakuelewa!
Wewe matukio ya ziara hizo uliyasoma hivyo, au kuna la ziada ulijualo tusilolijua wengine?
Kwa kuwa wengine hatujui uyajuayo, tunaweza tukayaona yaliyotokea kama serikali iliyovurugika akili wasijue lipi la kufanya!
Nchi yetu inayo mifano mingi, mingine mingi imeonekana katika msiba huu: serikali (watendaji), wamekuwa watu wa kufanya tu mambo, hata kama hawafuati taratibu zozote zinazotakiwa kufanywa katika kushughulikia aina fulani ya mambo. Katika kufanya hivyo ndipo panapotokea mikanganyiko wasiyokuwa wanaitegemea kutokea.
Wewe fikiria, hata ratiba tu ya msiba unakuwa na mkanganyiko, kivipi? Mara siku 14, mara 21, mara Zanzibar..., kuna kitu gani kigumu katika kuteua kamati inayoeleweka kiutaratibu na kuweka yote haya sawa kabla ya kuyatangaza?
Hicho ndicho ninachokiona kwenye utendaji wa serikali yetu. Taratibu hazizingatiwi, na kufanya mambo bila taratibu ni uvurugaji.
Naomba serikali walione hili haraka na wafanye juu chini turudi kwenye mstari. Vinginevyo tutaelekea kuwa "Banana Republic."