Safari ya Mama Samia Tanga imejaa fumbo la kiimani?

Safari ya Mama Samia Tanga imejaa fumbo la kiimani?

My guess is Mzee alishakuwa incapacitated, kwahiyo ilikuwa lazima "mkubwa" mmoja awepo mjini. List yetu ni Rais -> Makamu -> Waziri Mkuu. Isingewezekana wote wasiwepo karibu na instruments of power
If the Predident was incapacitated, kwanini hakuwa VP ndiye awe around and not PM kulingana na chain of command?
That's why it raises an eyebrow....!!!
 
If the Predident was incapacitated, kwanini hakuwa VP ndiye awe around and not PM kulingana na chain of command?
That's why it raises an eyebrow....!!!
Probably hawakutaka kuleta maneno zaidi.... maana hata PM kufupisha ziara kulileta maneno.

Ninachokiona ni watu waliozea kupewa maelekezo ya kila kitu, mtoa amri yuko kimya wakabaki hawajui wafanye nini. Sikiliza hotuba zao, kila mtu anasimulia jinsi alivyokuwa "anapewa maelekezo" as if kazi yao ni kuelekezwa tu kila wakati.

Ingekuwa nchi za wenzetu, within 2-3 years tungekuwa tumeshapata vitabu kadhaa vya hili saga, ila hapa tusahau. We may never know what transpired during Magu final days.
 
Akili za kuambiwa changanya na zako....!!!
Ukiunganisha dots na alichosema Malkia Samia.." ALIYESIMAMA HAPA NI RAIS AMBAYE MAUMBILE YAKE NI MWANAMKE"
Something was being cooked under the carpet.....!!!!!
Maswali yanaongezeka.

Ni nani hao?
Hawakujua katiba inasema nini?
Kamaa wanajulikana, watafanywaje?
 
Natafakari safari ya Mama Samia kwenda Tanga, najiuliza alirejea lini Dar, najiuliza kwanini safari ya Waziri Mkuu ilifutwa ya Makamu ikawepo?

Haya maswali yananifanya niamini nchi inapita kipindi kigumu ambacho ratiba za wanadamu na mipango ya wanadamu haiwezi kutimia bali mipango ya Mwenyenzi Mungu ndiyo inabaki kutimia.

Hata Kama wapo wenye uchu wa madaraka Basi Mungu aliwapa upofu na ametushindia tunasonga mbele na niombe azidi kumpa nguvu mama avuke siku mia baada ya mazishi naamini atakuwa amemaliza kutengeneza safu na kuwawajibisha wale wote waliotumwa na movu shetani kutaka kuharibu jina zuri la Tanzania.

HONGERA Tanzania Mwenyenzi Mungu tupo nawe Sasa na hata milele. Amen

Mama Samia ambaye ni Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania alirejea dar akitokea tanga tarehe 18 March 2021
 
Mnaotaka Siri hyo nendeni kwenye Uzi wa kudukuliwa pacemaker ya Rais , ndani ndani humo mbona watu wamefunguka mengi.... Why ziara ya VP Tanga ( Kikwete , Mabeyo & Mwamnyange engineering the situation) tangazo la msiba kutumwa toka Tanga to TBC HQ under Army command to escape Majaliwa & Bashiru interference.

Bawacha acheni uzushi bhana hivi swala la Mama Samia kuwa Rais lilikuwa uamuzi wa CCM au katiba? Mbona mnajichosha?
 
Natafakari safari ya Mama Samia kwenda Tanga, najiuliza alirejea lini Dar, najiuliza kwanini safari ya Waziri Mkuu ilifutwa ya Makamu ikawepo?

Haya maswali yananifanya niamini nchi inapita kipindi kigumu ambacho ratiba za wanadamu na mipango ya wanadamu haiwezi kutimia bali mipango ya Mwenyenzi Mungu ndiyo inabaki kutimia.

Hata Kama wapo wenye uchu wa madaraka Basi Mungu aliwapa upofu na ametushindia tunasonga mbele na niombe azidi kumpa nguvu mama avuke siku mia baada ya mazishi naamini atakuwa amemaliza kutengeneza safu na kuwawajibisha wale wote waliotumwa na movu shetani kutaka kuharibu jina zuri la Tanzania.

HONGERA Tanzania Mwenyenzi Mungu tupo nawe Sasa na hata milele. Amen
Hicho ulichokiwaza hata ukaleta uzi kinaweza kuwa sawa ijapokuwa hakitoki kwenye chanzo rasmi.
 
Moja yafilamu mbovu duniani kuwahi tokea ,eti mafua kawaida kwabinadamu
 
Wajumbe wa baraza hilo ni akina nani? Makamu mwenyekiti wake ni nani na katibu huwa nani?
Mama tumuache mengine yalikuwa maelekezo baraza usalama la Taifa.
 
Pale aliposema “ tuko kwenye kipindi ambacho tunapaswa kuwa na utulivu zaidi na mshikamano “ werevu tukang’amua kuwa kuna jambo zito huenda limetokea au litatokea muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom