Safari ya Mama Samia Tanga imejaa fumbo la kiimani?

Una ushahidi? Kama upo tumpelekee mama ashughulike nao! Mara wengine wanasema kuna ka kikundi kalikuwa kanataka kupindua meza kibabe, kakadhibitiwa na Mabeyo!!
 
Yote tisa kosa kubwa kabisa ni serikali kukaa kimya na wakati mwingine kudanganya rais kuwa ni mzima wakati alikuwa mgonjwa.
 
Ebu ipandishe hpa mkuu tuupitie
 
Safi
 
Swali fikirishi nani aliratibu hizo safari 'there many unfolding questions'
 
Kati ya TAREHE 11 na 17 Kuna Siri nyingi na mikakati mingi sana ilifanyika.

Hope tutajua (Ile tunaopaswa kuyajua) na mengine yataendelea kuwa siri
Itoshe kusema tulalipongeza sana jeshi letu JWTZ, kwa kuweka mazingira ya usalama na heshima kwa katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Mengi yatajulikana usoni lakini mikakati ya uovu imeshindwa, Mungu ashukuriwe.
 
My guess is Mzee alishakuwa incapacitated, kwahiyo ilikuwa lazima "mkubwa" mmoja awepo mjini. List yetu ni Rais -> Makamu -> Waziri Mkuu. Isingewezekana wote wasiwepo karibu na instruments of power
 
Ngoja tuzike kwanza mengine mtayajua mbele ya safari
[QQUOTE="Mvumbo, post: 38478182, member: 319780"]
Tungekuwa wapi mkuu?
[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…