Safari ya matumaini na Rais Samia juu ya haki za Binadamu na utawala bora

CM 1774858 machozi uliyotoa ya furaha au huzuni/masikitiko? Na mbona umesoma page chache tu wakati hukuwa umemaliza andiko lote? Ukiendelea kusoma hadi mwisho, utashangaa machozi yako hayo yatakauka mara moja...!!

By the way, Mimi nimesoma hadi mwisho. Ni kawaida sana. Na nimepata tatizo moja kubwa la Rais Samia...

Kwamba, labda Rais Samia ana nia ya kweli ya kusawazisha na kuweka mambo sawa baada ya mtangulizi wake Hayati John P. Magufuli kwa miaka kama 6 hivi kuvuruga haki za binadamu kwa kiwango kikubwa na cha kutisha sana..

Hata hivyo, nia yake njema iko kwenye KAULI/MANENO zaidi kuliko kutenda...

Aidha, wakati mwingine hata hizo kauli huwa zinapingana na haya aliyoandikiwa humu kumhusu ambayo nayo ni kinyume na HAKI ZA BINADAMU na UTAWALA WA SHERIA...

Na kama kweli, anayo hiyo NIA, basi hatua kubwa ya utekelezaji wa NIA hiyo ya kulinda na kuonesha kuheshimu HAKI ZA BINADAMU na UTAWALA BORA anayoweza kuichukua sasa na kuiweka katika TENDO ni kutamka hadharani na kwa kujiamini kabisa kuwa;

".....mimi Rais Samia Suluhu Hassan wa JMT nikiwa na NIA dhabiti kabisa ya KUHESHIMU UTAWALA BORA na kuhakikisha HAKI ZA BINADAMU zinalindwa, ninaagiza mamlaka zote za kiserikali zinazohusika na SHERIA na KATIBA kuuhuisha mara moja mchakato wa kuandika KATIBA MPYA YA WANANCHI uliovurugikia njiani mwaka 2014 uanze tena na mara moja...

.....Naagiza pia kuwa, mchakato huo uendelee kuanzia ktk maoni ya TUME YA WARIOBA, kisha tusonge mbele na nataka nchi hii ya JMT ninayoiongoza mimi iwe na KATIBA MPYA YA WANANCHI kabla au ifikapo mwaka 2025 maana haya ndiyo matakwa ya wananchi...."

Kinyume na hiko hapo juu, hizi zinabaki kuwa ni political propaganda tu zilizo ktk makaratasi tu kwa lengo la kumsifu na kumjenga mtu binafsi kwa manufaa yake binafsi kisiasa ambao ndiyo utamaduni wa siku zote wa watawala wa CCM japo ktk wote waliopita, kiboko yao ni John Pombe Magufuli. Huyu mzee alikuwa ni "mamba mla watu" wa nchi kavu, alikuwa jiwe lisiloambilika wala kushaurika..!

Mwambie huyu bibi afanye hivyo kweli kama anataka kuacha "legacy" iliyotukuka ya kukumbukwa kwa uzuri ktk nchi hii...
 
Mkuu unamaanisha haya yote wewe hujaona jema lolote,

Nikweli kwamba hujaona commitment kwenye hilo chapisho lote?
 
"Commitment" bila vitendo, siyo commitment ni ulaghai...

Kujibu swali lako, ni kuwa...MIMI SIJAONA na yote yanayofanyika hayana sustainability kwa sababu hayajajengewa msingi wa kikatiba...!

Ili nione, ni lazima atoe kauli thabiti ya kukubali kuweka hiyo commitment yake ktk vitendo kwa kuuhuisha mchakato wa kuandika katiba mpya ya wananchi iliyojengwa ktk msingi wa RASIMU YA TUME YA JAJI WARIOBA...

Kuacha hili, na kuanza kuunda viji - task force vingine pembeni ni kukosa commitment...!
 
lakini mkt wako naona anamwelewa vizuri sana Mama,

Kila siku yuko Ikulu kwa chai
 
CM 1774858 machozi uliyotoa ya furaha au huzuni/masikitiko? Na mbona umesoma page chache tu wakati hukuwa umemaliza andiko lote? Ukiendelea kusoma hadi mwisho, utashangaa machozi yako hayo yatakauka mara moja...!!

By the way, Mimi nimesoma hadi mwisho. Ni kawaida sana. Na nimepata tatizo moja kubwa la Rais Samia...

Kwamba, labda Rais Samia ana nia ya kweli ya kusawazisha na kuweka mambo sawa baada ya mtangulizi wake Hayati John P. Magufuli kwa miaka kama 6 hivi kuvuruga haki za binadamu kwa kiwango kikubwa na cha kutisha sana..

Hata hivyo, nia yake njema iko kwenye KAULI/MANENO zaidi kuliko kutenda...

Aidha, wakati mwingine hata hizo kauli huwa zinapingana na haya aliyoandikiwa humu kumhusu ambayo nayo ni kinyume na HAKI ZA BINADAMU na UTAWALA WA SHERIA...

Na kama kweli, anayo hiyo NIA, basi hatua kubwa ya utekelezaji wa NIA hiyo ya kulinda na kuonesha kuheshimu HAKI ZA BINADAMU na UTAWALA BORA anayoweza kuichukua sasa na kuiweka katika TENDO ni kutamka hadharani na kwa kujiamini kabisa kuwa;

".....mimi Rais Samia Suluhu Hassan wa JMT nikiwa na NIA dhabiti kabisa ya KUHESHIMU UTAWALA BORA na kuhakikisha HAKI ZA BINADAMU zinalindwa, ninaagiza mamlaka zote za kiserikali zinazohusika na SHERIA na KATIBA kuuhuisha mara moja mchakato wa kuandika KATIBA MPYA YA WANANCHI uliovurugikia njiani mwaka 2014 uanze tena na mara moja...

.....Naagiza pia kuwa, mchakato huo uendelee kuanzia ktk maoni ya TUME YA WARIOBA, kisha tusonge mbele na nataka nchi hii ya JMT ninayoiongoza mimi iwe na KATIBA MPYA YA WANANCHI kabla au ifikapo mwaka 2025 maana haya ndiyo matakwa ya wananchi...."

Kinyume na hiko hapo juu, hizi zinabaki kuwa ni political propaganda tu zilizo ktk makaratasi tu kwa lengo la kumsifu na kumjenga mtu binafsi kwa manufaa yake binafsi kisiasa ambao ndiyo utamaduni wa siku zote wa watawala wa CCM japo ktk wote waliopita, kiboko yao ni John Pombe Magufuli. Huyu mzee alikuwa ni "mamba mla watu" wa nchi kavu, alikuwa jiwe lisiloambilika wala kushaurika..!

Mwambie huyu bibi afanye hivyo kweli kama anataka kuacha "legacy" iliyotukuka ya kukumbukwa kwa uzuri ktk nchi hii...
Hatua iliyofikia ni kupigiwa kura ya maoni kwenda kinyume na hapo ni kama ulivyosema
"ni kinyume na HAKI ZA BINADAMU na UTAWALA WA SHERIA..."
 
The Palm Beach ,

..Narejea post yako #5.

..Ssh alikuwa makamu mwenyekiti wa bunge maalum la katiba.

..Ssh alikuwa makamu wa raisi ktk serikali ya awamu ya 5.

..mtu mwenye background hiyo anaweza kuaminika kiasi gani kuwezesha masuala ya Katiba Mpya, na Maridhiano?
 
Unamaanisha nini hapa ndugu JokaKuu?

Kwamba, Rais Samia Suluhu hana credibility ya kusimamia mchakato huu tena..?

Kama haaminiki, tufanyeje sasa maana hakwepeki huyu. Ndiye Rais wetu huyu. Ndiye mwenye kauli ya mwisho huyu..?
 
Unamaanisha nini hapa ndugu JokaKuu?

Kwamba, Rais Samia Suluhu hana credibility ya kusimamia mchakato huu tena..?

Kama haaminiki, tufanyeje sasa maana hakwepeki huyu. Ndiye Rais wetu huyu. Ndiye mwenye kauli ya mwisho huyu..

..my worry is if her excellency understands that Reconciliation goes hand in hand with Truth.

..South Africans had a Truth and Reconciliation Commission headed by Archbishop Tutu.

..Matumaini yangu ni kwamba Rais Ssh hatatuletea Tume ya Maridhiano bila ukweli.

..Tufanye Nini?

..Tunatakiwa tupaze sauti kwamba suala la Maridhiano linakwenda sambamba na suala Ukweli.
 
Katika Maridhiano CHADEMA ni wakuogopwa mno,
 
Back
Top Bottom