Safari ya Mwanza - Dar Kwa bus ni adhabu

Safari ya Mwanza - Dar Kwa bus ni adhabu

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Umasiki mbaya aisee,

Natoka Mwanza naenda Dar hapa ni saa 5 kasoro ndiyo natoka Shinyanga nimeanza safari saa 1 jioni na hapa nimechoka sana na tunafika Dar kesho saa 7 mchana aisee sijui nitakuwa na hali gani

Mungu nijalie wakati wa kurudi nipande Air Tanzania
 
Panda Ally’s luxury coach hutajuta
Hakika 😉.

BF8D79ED-41E8-4ED7-97CC-4C9B9CCF28CF.jpeg
 
Mimi nmetoka Dar 2000 naenda Bukoba kwa Bus ya Travel Partner. Ntafika kesho saa 1500. Cwez kulaumu Umaskini cz kusafr na Bus n raha sna.
Umasiki mbaya aisee
Natoka Mwanza naenda Dar hapa ni saa 5 kasoro ndo natoka Shinyanga nimeanza safari saa 1 jioni na hapa nimechoka sana na tunafika Dar kesho saa 7 mchana aisee sijui nitakuwa na hali Gani

Mungu nijalie wakati wa kurudi nipande Air TANZANIA
 
Back
Top Bottom