Safari ya Mwanza - Dar Kwa bus ni adhabu

Safari ya Mwanza - Dar Kwa bus ni adhabu

Ndo ivo hatuna option aisee
Dar-Bukoba ni safari ndefu mno Kwa bus haifai.
Bus inatakiwa uishie Dodoma
Safari masaa 48 Kwa bus ni mengi mno
Kweli kabisa. Tangu waondoe fastjet kwa sisi walalahoi, mambo yamekuwa magumu sana. Dar- Mwanza parefu sana.
Bora usafiri hadi Dom upumzike then Uanze tena upya safari baada ya siku moja au 2. Moja kwa moja inatesa sana
 
Hata kwa usalama, Dodoma to Dar hapafai kwa gari, roho mkononi
 
Vitu ambavyo napendaga mimi hivyo mkuu, familia nzima wananijua na sio familia tu kwanza ni ukoo mzima wananijua kwamba linapokuja swala la safari hata nikiwa mahututi huwa nahisi kupona ghafla na hata ukiniamsha usiku wa manane sitakua na swali lakuuliza zaidi ya kupack begi langu tuwahi kabla haujagairi 😆😆😆.

Na safari ya kusafiri kufika haraka huwa sioni kama nimesafiri labda iwe ya dharula ila vinginevyo safari yoyote ambayo najua bus linafika kwenye hiyo sehemu huwa naopt kusafiri na bus na kiroho changu kinakua swaaaafi kabisa 😆😆😆.

Hii hali imenipelekea niwe nauliza kwa mtu ambae nataka kuanza nae mahusiano kama anaweza kumudu safari za back to back like tunatoka Dar to kigoma then tunalala tunaamka tunatoka kigoma to mwanza then mwanza to Dar for no reason, akisema hawezi basi hata akiwa ni mrembo kiasi gani namuona kawaida sana 😆😆😆.
wewe kiboko
 
Kweli kabisa. Tangu waondoe fastjet kwa sisi walalahoi, mambo yamekuwa magumu sana. Dar- Mwanza parefu sana.
Bora usafiri hadi Dom upumzike then Uanze tena upya safari baada ya siku moja au 2. Moja kwa moja inatesa sana
Kweli kabisa
Nauli ya ndege ingekuwa japo laki 2 kutoka Mwanza _Dat
 
Umasiki mbaya aisee,

Natoka Mwanza naenda Dar hapa ni saa 5 kasoro ndiyo natoka Shinyanga nimeanza safari saa 1 jioni na hapa nimechoka sana na tunafika Dar kesho saa 7 mchana aisee sijui nitakuwa na hali gani

Mungu nijalie wakati wa kurudi nipande Air Tanzania
Pole sana
 
Back
Top Bottom