Safari ya Mwanza - Dar Kwa bus ni adhabu

Safari ya Mwanza - Dar Kwa bus ni adhabu

Ndo ivo hatuna option aisee
Dar-Bukoba ni safari ndefu mno Kwa bus haifai.
Bus inatakiwa uishie Dodoma
Safari masaa 48 Kwa bus ni mengi mno
Shida sirikali yetu inaona mtu kupanda ndege n Ufahali. Wakat kwa nchi nyinyne n jambo la kawaida sana. Wanatakiwa wapunguze code (VAT) kwenye naul za ndege. Hili wote wakaz wa mikoa ya mbali tupande ndege.
 
Kwani serikali inachukua kodi kiasi gani kwa domestic flights?

Unajua haifiki hata 60,000/- kwa one way na haizidi 120,000/- kwa round trip?

One way.jpg

Hizi juu ni kodi za one way ambapo serikali inachukua 40,800/- tu kama kodi kwa kila kichwa na mamlaka ya viwanja vya ndege wanachukua 18,000/-

Round trip.jpg

Hizi ni kodi za round trip ambapo serikali inachukua 81,600/- tu na 36,000/- inaenda kulipia huduma za airport.

Au unamaanisha serikali isichukue hata mia moja?
 
Umasiki mbaya aisee
Natoka Mwanza naenda Dar hapa ni saa 5 kasoro ndo natoka Shinyanga nimeanza safari saa 1 jioni na hapa nimechoka sana na tunafika Dar kesho saa 7 mchana aisee sijui nitakuwa na hali Gani

Mungu nijalie wakati wa kurudi nipande Air TANZANIA

Vitu ambavyo napendaga mimi hivyo mkuu, familia nzima wananijua na sio familia tu kwanza ni ukoo mzima wananijua kwamba linapokuja swala la safari hata nikiwa mahututi huwa nahisi kupona ghafla na hata ukiniamsha usiku wa manane sitakua na swali lakuuliza zaidi ya kupack begi langu tuwahi kabla haujagairi 😆😆😆.

Na safari ya kusafiri kufika haraka huwa sioni kama nimesafiri labda iwe ya dharula ila vinginevyo safari yoyote ambayo najua bus linafika kwenye hiyo sehemu huwa naopt kusafiri na bus na kiroho changu kinakua swaaaafi kabisa 😆😆😆.

Hii hali imenipelekea niwe nauliza kwa mtu ambae nataka kuanza nae mahusiano kama anaweza kumudu safari za back to back like tunatoka Dar to kigoma then tunalala tunaamka tunatoka kigoma to mwanza then mwanza to Dar for no reason, akisema hawezi basi hata akiwa ni mrembo kiasi gani namuona kawaida sana 😆😆😆.
 
Umasiki mbaya aisee,

Natoka Mwanza naenda Dar hapa ni saa 5 kasoro ndiyo natoka Shinyanga nimeanza safari saa 1 jioni na hapa nimechoka sana na tunafika Dar kesho saa 7 mchana aisee sijui nitakuwa na hali gani

Mungu nijalie wakati wa kurudi nipande Air Tanzania
Tuliza wenge mzee mbn Ndio Maisha yetu siku zote kigoma to dar 😃😃
 
Back
Top Bottom