Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa, Marin Hassan Marine, Alianzisha Jambo TZ na Ameacha Alama ya TBC Aridhio

Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa, Marin Hassan Marine, Alianzisha Jambo TZ na Ameacha Alama ya TBC Aridhio

Waziri Kombo anamzungumzia Marin alicheza nae, kama mtoto waliokuwa nae.
Marin alichaguliwa miongoni mwa vijana 13 kwenda kusomeshwa utangazaji nchi ya nje.

Kati ya watangazaji 13, ni watatu tuu ndio walirejea nchini. Huu ni uzalendo wa hali ya juu kwa taifa lake.

P.
 
Waziri Kombo anasema, Marin ni kama samaki wa bwawani, akikua mkubwa sana, bwawa linakuwa dogo, hivyo akahamia bahari kubwa ya TBC kuendelea na kazi.
P
 
Kifo cha Marine ni pigo kubwa kwenye tasnia ya Utangazaji, Mwakyembe anaeleza. Mwakyembe amemshukru rais Magufuli kutoa ndege yake kumfuata mke wa Marehemu Dodoma, kisha ndege hiyo kuupeleka mwili wake Zanzibar, mwili huo uliandamana na Mkewe na mwanae, na viongozi wa serikali.

P
 
Sasa anazungumza msemaji wa familia, Famia imeshukuru wote, kuanzia rais wa JMT, VP, Waziri Mkuu, Rais wa Zanzibar, Mawaziri wa Tanzania na Zanzibar, Uongozi na wafanyakazi wa TBC, wanahabari na Watanzania kwa jumla.
Sasa anazungumza mwakilishi wa Chama cha Mapinduzi CCM.
P
 
Sasa anazungumza Mwakilishi wa Chadema, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu,
Salum Mwalimu anasema baada ya Marine kuanzisha Jambo Tanzania, hivyo awatia changamoto Channel Ten ndio wakaanzisha Barugumu.
P
 
Back
Top Bottom