Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa, Marin Hassan Marine, Alianzisha Jambo TZ na Ameacha Alama ya TBC Aridhio

Salum Mwalim anaendelea kumwagia sifa Marin, kuwa thamani ya maisha ya binadamu sio umeishi umri gani, bali umeacha nini hapa duniani, Marin ametoa mchango mkubwa kwenye tasnia ya habari. Ameacha kitu, ameacha alama.
P
 
Mwisho wa matangazo ya Live ya TBC.
Watangazaji ni Khalid Gangana, na Mbozi Katala
Nimefanya RTD miaka 5, watangazaji huwa wanakufa, ila sikuwahi kusikia wakiwa coved live.
Nimefanya TBC miaka 5, watangazaji wanakufa lakini sikuwahi kuona mazishi ya mtangazaji yakiwa coved live.
Msiba wa Marin umeshtua sana kwasababu juzi tarehe 31 amesimamia TBC Ardhio, kesho yake akiwa kazini, jioni akazidiwa ghafla akakimbizwa Lugalo hospital. akalazwa jana asubuhi kachomoka!, it was a shock!.
Tulimpenda Marin Hassan Marin, Mungu amempenda zaidi.
RIP Marin Hassan Marin
Paskali
 
Swali kwa Pascal Mayalla
Je, alikuwa na mke na watoto wangapi?
Sikubahatika kusikia wasifu wake ukisomwa, ila ameacha mke na watoto.
Marine kwake ni Dodoma, jana rais Magufuli alitoa ndege yake kutoka Dar, kumfuata mkewe na mtoto Dodoma, ikamleta Dar, kuchukua mwili na kumpeleka Zanzibar.
P
 
Tukisema wewe ni kigeugeu unasema tunakuandama na kukusemea uongo.

Jana ulisema Jamii forums Basi!

Sasa bado upo humu unafanya nini Pascal si uende huko?
Hukusoma fasihi wewe? Hata hadithi za. Paukwa Pakawa zilikupita kando? Ulikuwa unasoma kukariri ili ufaulu mtihani tu?
 
Wewe umesema unastaafu JF leo unafanya nini hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ya jana uliitendea haki ulikamata wengi
Alikusanya nondo nyngi za kumsaidia na kuwasaidia wengine wanaounga mkono juhudi na kutaka kugombea ubunge 2020.
Even in seemingly foolish views one can make sense.
Katika vita kuu ya pili hizi mbinu za kuhadaa na watu kufikiria ni za kijinga, jeshi la Uingereza lilipitisha vikosi vingi sehemu zilizoonekana kua impossible, while people vichwa vyao vimekazania hili ni swala la kijinga.
 
Pascal Mayalla si uliahidi kutokupost kitu humu zaidi ya kulike na ku dislike? Imekuaje tena? Au umeshakuwa addicted?
P
 
Si ulisema umestaafu JF?

Sent using Jamii Forums mobile app
P
 
Mkuu pascali RTD ulihudumu mwaka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…