Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa, Marin Hassan Marine, Alianzisha Jambo TZ na Ameacha Alama ya TBC Aridhio

Raisi wa Tanzania hana ndege binafsi ile ya kwake alishaitoa Kwa shirika.marini ni mtangazaji Maori enzi za TIDO mhando baadae akaanza kutangaza propaganda za ccm.
RIP Mwana Ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani elimu ya Corona imefeli kabisa.... Watu hawakua wanatimiza kabisa masharti ya kujikinga
 
Kumtenganisha Mayalla na JF ni kazi ngumu.......akishtuka tu usingizini anaingiamo..! ha ha ha
P
 
Pascal Mayalla,
mkuu si umestaaf jana 😂
P
 
Pascal si ulituaga jana wewe?
Au ilikuwa April fool?
P
 
P
 
Tukisema wewe ni kigeugeu unasema tunakuandama na kukusemea uongo.

Jana ulisema Jamii forums Basi!

Sasa bado upo humu unafanya nini Pascal si uende huko?
P
 
Nashangaa kuona post ya paskalli wakati alidai Jana amestaafu undishi
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…