Safari ya Rais Ruto nchini Marekani yadaiwa kugharimu Tsh. Bilioni 3.94. Amekodi Ndege kutoka Dubai

Ni ujinga tu.
Kenya Kuna scheduled flight za kwenda states, Kama angelipa nauli Kama ABIRIA kwani angebadilika na kua mwanamke?
After all Biden aliyemualika Ni senile kwa Sasa , yaani hajui atendalo, ataongea nae Nini.?
Kwani MTU ukiwa simple na down to earth, nguvu za kiume zitapungua? Auukitumia pesa kijinga huku watu zaidi ya 200 wamekufa kwa mafuriko, watu 100,000 hawana chakula na mahali pa kukaa utaongezewa nguvu za kiume.
Hata ujenge nyumba ya vyumba kumi, huwezi kuvilalia vyote kwa mpigo.
 
Yani billion 35 madafu wee mwenyewe unaonaaa niii nyiingiii. Thed weld dwellers bana
Inawezekana hujui maana ya hela wewe; unaimba tu. Kama huelewei kuwa bilioni 35 ni zaidi theluthi nzima ya bajeti yote wa Wizara ya Viwanda na biashara kwa mwaka 2024/2025 ambayo ni bilioni 110.9, basi huna authority kujadili lolote kuhusu matumizi ya fedha za serikali.
 
Yani wabongo bana yani hiyo 110.9 billions bajeti ya wizara ya viwanda mwenyewe unaionaa nyingiii . Kweli tumetofautiana. Yani 110.9 billion madaf unaiona nyiiiiingiii. Kammon this is really absurd.

Mindset za kimaskini maskini
 
Yani wabongo bana yani hiyo 110.9 billions bajeti ya wizara ya viwanda mwenyewe unaionaa nyingiii . Kweli tumetofautiana. Yani 110.9 billion madaf unaiona nyiiiiingiii. Kammon this is really absurd.

Mindset za kimaskini maskini
Hata kama unajitangaza kuwa ni tajiri sana na unaweza kutumia b35 bila matatizo, lakini serikali siyo tajiri hivyo kutumia theulithi nzima ya bajeti ya wizara yake kwa safari moja tu ukizingatia kuwa sehemu kubwa ya pesa hizo ni za kukopa.

Halafu wewe unaejitangazia utajiri ni mtu asiyejua pesa kabisa na huenda ni kati ya wale wanaopate pesa za mlo wa siku tu. Mwenye poesa na aneyejua pesa haongei pumba za namna hiyo kuhusu ufujaji wa pesa, hata kama zingefungwa shilingi mia moja tu. Mojawapo wa sifa ya utajiri ni udhibiti wa matumizi yasiyo ya lazima, sifa ambayo umeonyesha huna hata punje yake.
 
Usinichukulie poa bwana mdogo. Ningetamani kukuonyesha ushahidi wa utajiri wangu lakini naogopa utashikwa na presha cardiac arrest wakati wewe kwenye ukoo wenu wanakutegemea ni sole bread winner mshindi mkuu wa mkate.

Usinichukulie poa kabisa bwana mdogo. Kwako hiyo bajet ya wizara ya viwanda unaiona nyiiingiii wakati mimi kwangu ni peanut a drop in the sea. Hela ndogo sana.
 
Huyo Ruto ni muendelezo wa Marais wa hovyo waliotokea Upinzani

Zambia
Kenya
Senegal
Malawi
Ghana

Kiufupi Wapinzani Huwa ni empty set
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…